Wapo wakweli lakini ni wachache

Wapo wakweli lakini ni wachache

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Wale wanaume au wanawake wenye guts za kukuambia “huko tuendako mimi na wewe hatuna future”, Mimi sina mpango wa kuoa/kuolewa sasa.

Ukisikia haya jua hujakidhi vigezo, jisogeze taratibu. Unaweza kuwa na hasira miezi miwili lakini kuweka grudges si jambo jema.

Kheri anaekwambia kuliko uje usikie au ujue ana mahusiano mengine.

Yalishakutokea?
 
Yaani umwambie mwanamke mimi na wewe hatuna future! Hapo mmeshakwichkwich au bado Sky!

kama bado mtaani watakubatiza "domo zege".
 
Me anaweza ila ke ni ngumu kuuelezea hayo ikizingatia anaingia kwenye game kwa ajili ya kuchuma so atakuvumilia hata ikiwa hujakidhi na hajapata pa kuegemea
 
hapo sky sijakuelewa yaani mwanaume uimmbannia kumpa penzi ndiyo anapata motisha wakati wengine unaweza ukajikuta unmpenda zaidi mwanamke na kuingia kwenye ndoa mara tu unapoonja penzi lake
Kwa hiyo mnazini kwanza?
 
Back
Top Bottom