Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

HERI Ya sikukuu kwenu wote ni matumaini yangu kwamba wote kwa wingi wenu mmesherehekea na mnaendelea kusheherekea sikukuu kwa Furaha na amani tele, bila kupoteza muda ni vyema nikaweka mada...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
1. Wasukuma ni kabila kubwa kuliko yote Tanzania. Mikoa ya Simiyu, Tabora, Shinyanga, Geita, Mwanza kote huko ni usukumani. 2. Usukumani siyo lelemama, kuna Kazi nyingi kama kushinda shambani...
40 Reactions
216 Replies
36K Views
Beki 3 wangu nilikuwa namtazama kwa jicho la husda kitambo sana, ila jana usiku wife alienda kwenye sherehe gani sijui ikabidi nitumie mwanya huo kumtafuna. Nikaenda chumbani kwake, nikamchombeza...
32 Reactions
143 Replies
22K Views
Nakumbuka siku za nyuma kulizuka ugomvi wa kukata na shoka, ugomvi ulikuwa wa kugombea mwanaume. Napenda kujua nani alishinda na nani alishindwa? Maana jamaa inasemakana wakati ana gombaniwa...
0 Reactions
9 Replies
999 Views
Ni manzi pini kiasi chake. Ila ugomvi wake mkubwa anakasirika simpost kwenye mitandao ya kijamii. Mi namwambia, baby we nimekupost kwenye moyo huko kwenye mitandao sio kipimo cha upendo, hanielewi...
5 Reactions
104 Replies
7K Views
Biblia inasema Mwanamke ataachana na wazazi wake na kuambatana na mmeo. Kwao alikuwa anakula vizuri,analala vizuri,kakufuata,kumlisha na kumpa mahitaji ni wajibu wa mwanaume. Wanawake wengi...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu Leo nimependa tushauriane kwenye mitazamo hii Nianze tu kusema naamini kuoa/kuolewa bila kuweka misingi imara ya kuhakikisha maisha ya wawili au watatu yaani familia...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
SIMULIZI........BALAA SIMU-0757633010 MWANDISHI..HALFANI SUDY SEHEMU YA KWANZA KILWA KIVINJE, mwaka 1989. Ilikuwa tarehe kumi na tano, mwezi wa nne, mwaka elfu moja mia tisa themanini na tisa...
2 Reactions
497 Replies
216K Views
Habari zenu wana JF, ni matuamini yangu mpo salama na mnaendelea na pilika pilika za kumalizia maukoko ya pilau za Krismasi na kufurahia Boxing day. Naelekea kumaliza mwaka vibaya jambo ambalo...
4 Reactions
112 Replies
14K Views
Hii iwe kama wakeup call wa nyie wanawake mliozaliwa miaka ya 90. Mwakani madogo wa mwaka 2000 wanaanza kushika hatamu, maana wanakua legally edible, mwakani madogo wa 2000 kama hasomi anakua...
27 Reactions
135 Replies
12K Views
Ilikuwa nikitongoza mwanamke ambaye nimempenda Sana halafu akanikataa roho inauma sana Kias kwamba naanza kupata tatizo la pressure kushuka.unakuta hapo nimetumia mbinu zote nimerusha mabomu yote...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwaka mpya kwangu mimi naupokea nyumbani halafu kesho yake nashukuru kwa kila jambo basi naenda outing kufurahia mwaka mpya. Je wenzangu mnampango gani???
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Salaam wakuu wote, Kwani hakuna namna ya kuzuia usaliti? Na kwanini unasaliti mwenzio wakati ulimkubali na ukaridhika na kila kitu toka kwake ama ni muda mchache unautumia kumchunguza tabia zake...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
DONDOO: Ø Je ushawahi kumsikia mtu akisema ‘Na mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo' wakati mtu mwingine anapozungumza jambo fulani? Ø Je kuna wakati umeshawahi kujisikia kama huna furaha na...
17 Reactions
53 Replies
15K Views
hello wana MMU, ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Nakuja apa jukwaani kutafuta mwanamke wa kuoa, umri ni kuanzia miaka 18 hadi 27. kwa aliye tayar njoo Pm nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Za asubuhi hii wadau wa hapa. Leo nimejikuta nawaza na kudharau siku nilipoamka asubuhi kwenda kupiga kura.. na kibaya zaidi hata kanisani sikwenda. Yaani Mtu anatoa tamko kuwa watu wasifanye...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Mimi nina muda flani toka nimeoa, kama kawaida sisi wanaume wa kibantu huwa tukishaoa bado kipindi flani tunahitaji kubadilisha ladha hivyo tuna chepuka mara moja moja na kurudi njia kuu kuendelea...
1 Reactions
58 Replies
8K Views
Jana kuna mdada nilimtongoza ilikuwa majira ya jioni hivi, usiku tukachat kidogo tukapumzika kama ilivyo kawaida kwa wapenzi wapya, ile naamka asubuhi ni salaam tu nahisi ndo ilikuwa ya kwanza...
4 Reactions
79 Replies
6K Views
A man who has never lied to a woman He has no respect for her feelings
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ptuuuuu!! Wanaume (sio wote) muwe na japo akiba kidogo ya aibu. Unatumia nguvu nyiiingi kumshawishi mwanamke. Unakubaliwa. Mnaenda hoteli, unalipia na unaagiza vinywaji. Muda wa kujigijigi...
8 Reactions
75 Replies
9K Views
Back
Top Bottom