Wakitaka ku kiss wanafanyaje?

Wakitaka ku kiss wanafanyaje?

Kuna wale wanaume wanafuga ndevu nyingi mpaka mdomo unaonekana kwa tabu hivi wakitaka ku kiss wanafanyaje au huwa Hawa kiss?
Kwa akili za haraka haraka zinaniambia kua hilo swali umejiuliza mwenyewe baada ya kuangalia tamthilia ya sultan, ulivyokosa jibu ukaona utushirikishe wanajamii ili tukusaidie kimawazo na kifikra juu ya hilo swali lako fikirishi.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Sijawahi kuangalia hiyo kitu naonaga tu humu wakiongea kuhusu
 
hii ni sawa na mtu hawez kosea kulengesha chakula mdomon....sema ndevu nzuri ni zile fupi hiz huongeza muwasho wa kimahaba
Sisemei kukosea kulengesha, naongelea haikuwi kero wakati wa ku kiss kwao wenyewe au wenzao. Mimi naona kama kero kwa wenzao. Zikiwa ndogo nzuri lakini sio mingi
 
Mmmh
naijatwittersavages-20181225-0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisemei kukosea kulengesha, naongelea haikuwi kero wakati wa ku kiss kwao wenyewe au wenzao. Mimi naona kama kero kwa wenzao. Zikiwa ndogo nzuri lakini sio mingi

mh kawaida tu mbona ,au mwenzio anafuga ndevu mpaka inakua kero kwako?
 
Back
Top Bottom