Wataalam wamegundua kujamba kuna punguza Uwezekano wa Mtu kupata Saratani Na Shambulio La Moyo,, Vile Vile kunusa Harufu Ya Mtu Aliye Jamba Husaidia Ubongo Kufanya Kazi Vizuri Na kuounguza...
Eti mazee? Wale wadada wazuriii wanaofunga nywele zao ndefu kwa nyuma, wale warefu wenye shape na wanavaa magauni marefu, wale wenye matumbo flat, wale wasiovaa mawigi, mnawatoa wapi?
Mi nakutana...
Mtu mnakubaliana mkutane sehemu anakwambia umtumie nauli hata Kama Ni gari moja tu nauli 400 bado inamshinda atataka umrushie kwenye tigo pesa/m pesa.sidhani Kama mademu wa nchi za jirani Wana...
Heri ya mwaka mpya wadau,
Ni furaha nimeanza mwaka na kuitwa baba. Imekuwa heri sana sikuwah kuwaza kama ingeweza kuwa soon kiasi hiki sababu mapenzi yetu yamekuwa hai si zaidi ya miaka 2...
Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba, nahiyo mimba lazima atakuwa mtoto wakiume naka sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, hili jambo limekuwa likiniumiza sana kichwa hadi naogopa...
Wanaume walio wengi humu JF wanaonekana ni wanaume wepesi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja (michepuko) huonekana wakijitapa kwamba wao ndio vigogo wa familia anajua siku akiowa mwanamke hawez...
Yani dogo hadi I nafikia wiki anakuja tuanze kuishi ndo imebidi niseme tu home ila kiukweli Hali hii ilikua ngumu sana Kwangu..
Japo mama ameshangaa Adi inakaribia dogo kufika hajaamini.. Mtoto...
Binti mmoja mrembo kutoka Afrika Kusini amesisimua mitandao jamii baada ya kujitokeza waziwazi na kukiri kuwa anaishi na virusi vya HIV
Binti huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja ni thibitisho kuwa...
Na Mwandishi Wetu
Nyakati na Technology zimeharibu mambo mengi sana Tanzania.Wanawake wenye akili wasio na elimu walizaa na kulea ma Professors .
Nyakati hizi wanawake wasomi wanashindwa...
Kwenye kiapo cha ndoa pale madhabahu ya kikristo kuna kiapo cha ndoa linasema.... Nitakupenda katika SHIDA na katika raha... Katika hali ya UGONJWA na uzima..... Hadi kifo kitakapotutenganisha...
Habari za njanuari wapendwa? Moja kwa moja kwenye mada.
Nina rafiki yangu ambaye nafanya naye kazi tumeshibana sana, na tunashauriana sana kwa mengi hasa kuusu maisha na tunataniana mara nyingi...
Habari zenu ndugu zangu ,
Ukweli sipo vizuri toka tarehe 18 mke wangu alipoondoka asubuhi ,
Awali nilimnyang'anya simu usiku wa kamkia jana nimekuja kuikagua simu yake nikabaini alikuwa na...
Habari za weekend tulivu wapendwa. Naitwa Kasie Mahaba kwa wale wasionitambua aka K’ moja
Matata.....
Mwaka ndo ushaanza nimerejea kazini vivo hivyo Dadii. Malengo ni kusaka shekeli ili mwisho...
Wazee wanzangu, nimekuja jiji la Mwanza kwa mwezi mmoja sasa. Kola ninaporudi hoteli niliyofikia nahisi kama mashuka yamemwagiwa maji. Mwanza pamegeuka Makambako.
Kwa wale wavuta bange hali...
Mimi na hubby tulikuwa wanywaji enzi hizo, dinner na wine au yeye akiangalia mpira na bia mbili tatu. Tulipoanza familia yale mambo ya kuamka usiku kuhudumia watoto tuliona pombe haina nafasi...
Mke anamdharau mumewe na anakuwa na mamlaka ndani ya nyumba. Mume kawa kama zezeta, hajali ndugu zake! Tumegundua kamuendea kwa mganga na kuroga ili awe na mamlaka juu ya mumewe na mali zake...
Habari za muda huu wanajamvi. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Mnamo tarehe 07 September 2014, ilizinduliwa filamu kali kabisa kuwahi kushika hisia za watu wengi duniani iliyokwenda kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.