Jana nimejilipua kwa mama mzazi Kua nimepata mchumba kwa Mara ya Kwanza je kwako ilikuaje?

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Yani dogo hadi I nafikia wiki anakuja tuanze kuishi ndo imebidi niseme tu home ila kiukweli Hali hii ilikua ngumu sana Kwangu..

Japo mama ameshangaa Adi inakaribia dogo kufika hajaamini.. Mtoto wa bukoba Kuja mtwara sio kazi nyepesi.. Tuambizane hapa wewe mwanaume mwenzangu ilikuaje siku kama hii ulipoamua vuta jiko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom