Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,049
Kwenye kiapo cha ndoa pale madhabahu ya kikristo kuna kiapo cha ndoa linasema.... Nitakupenda katika SHIDA na katika raha... Katika hali ya UGONJWA na uzima..... Hadi kifo kitakapotutenganisha.. kwa mzuka wa kuolewa na bila tafakuri kuu wengi hukitamka hiki kiapo bila kujua maana yake halisi
Lakini ukikiangalia kwa makini kinasema nitakupenda katika hali ya UGONJWA sio uzima, katika hali ya SHIDA sio raha... Mabinti wengi wanaoingia kwenye ndoa hawajitambui na ni kizazi cha Lilith... Joyce Kiria ni mfano sahihi na kielelezo cha kweli