Wanajukwaa habari za weekend? I hope mpo poa. Me leo nataka tuwekane sawa kuhusu hiyo mitandao miwili,kuna kidemu nilikikuta eskimi nikakichokoza "mambo" kakajibu "poa" ,pande zipi "mikocheni"...
Hii ni tips nawapa wanawake.
Wanaume hatuna tabia ya kuacha mwanamke hata kama hatumpendi. Hii ni hulka ya wanaume wote.
Mwanamke lazima uelewe kua hata kama mwanaume hakupendi hawezi kukwambia...
Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba mabadiliko ya teknolojia yameleta athari hasi na chanya katika nyanja tofauti za maisha ya kila siku ya mwanadamu. Katika mabadiliko haya rika zote zimeguswa...
Je kwa mwanaume kutongoza au kutumia kipindi kirefu kubembeleza msichana, ni kitu ambacho kinaweza kuwa sababu ya kupenda kwa dhati au kupenda sana na kuwa na upendo wa dhati kwa binti huyo mmoja...
Kwanza R.I.P regend miaka 66
Albums 58
Single 696
Ukiwa tajiri no 2 Africa kwa wasanii
NERIA, TODI na MIMI NI MIMI ukiwa na Malkia Ladjaydee pembeni bila kusahau ile movie pendwa ya NERIA na...
Amani iwe kwenu wana-MMU
Naomba tupeane uzoefu wana-MMU hivi ni kwanini baadhi ya wanawake wakifanya makosa kwanini wanapenda sana kujijitea na kwa kuona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa hata...
HADITHI: KIVULI CHEUSI
SEHEMU YA KWANZA
Panga boi lilikuwa linazunguka taratibu, bila kuleta dalili yoyote ya ubaridi. Sifahamu kama ilikuwa ni udogo wa chumba, ama ni hali ya hewa ya jiji...
Sijui ni kwanini sisi wanawake tukizoeana na wanaume na kuwa marafiki sana hata wakija kututaka kimapenzi inakuwa ngumu tunaogopa.
Unakuta ni mtu wako sana yaani, mnashare kila kitu hata mizinga...
Wasalaam.
Hapo awali Huyu bwana mshana alikuwa hakauki story zake humu na huyu bibie ANGEL NYLON. Vile Walikuwa wanafuatana kila Uzi kama mikia. (Sina hakika kama huwa wanachachuana au ndio Ku...
Aisee, sikuwa najua umuhim wa kuoga baada ya kupiga gemu, leo ninepanda gari na maza ananuka ndom mwanzo mwiso, sijui ni sababu ya jua kali au yule maza alizidisha kipimo, ila almost abiria woote...
Mwanzoni mwa miaka ya 2014 hadi 2016 nilibahatika kupata msichana ambaye alikuwa ni new intake katika shule ninayofundisha, baada ya kuona ananifaa nikamuaproach na tukawa naye katika mahusiano...
Mwamzo niliagiza maji sio kwamba sina hera. Sasa unadengua kukuita kisa nakunywa maji. Haya saizi nimekuagiza chupa ya jackdaniels ndo unavuta kiti nawe unakaa! Naomba utoke kabla sijamuita...
Wewe ni Mwanaume Umeoa Mwanamke ambaye
aliachika Kwa Mume akiwa na mtoto Mmoja Na
wewe uliamua kumpenda na kumuoa jinsi alivyo .
Umeishi naye kwa Muda Wa Miaka mitano hivi
akiwa na huyo Mtoto...
wana jamvi habari za HARDTALK....
kuna jambo nataka kushare na ninyi hasa wanawake waniambie nini huwa wanafikiria.
nina rafiki yangu alikua very decent na mtu mwenye misimamo hasa swala kuwa na...
Upo na demu wako au mke wako.mnapendana ile kinomanoma adi unahisi labda ni malaika kashushwa.unamsaidia kwa kila tatizo linalompata .na wakati mwingine unakuwa huna pesa ila unaamua hata kuingia...
Habari zenu wana jf
Inshu iko hivi......
Naishi na mtoto wa brother angu pamoja na mdogo angu wote ni wakike
Mtoto wa kaka yupo form two na hyu mdogo angu yupo darasa la saba mwaka huu
Inshu...
Una watoto wadogo na unahitaji msaidizi. Kazini kuna kijana amekuahidi kukuletea dada. Dada amekuja binti wa miaka 20 ni karembo with natural beauty.
Umekaa nae mwezi sasa, dada anaumwa homa...
.“Mkeo amefariki Msiba uko hapa nyumbani?”
Denis alipokea ujumbe mfupi kwenye simu yake,
kuangalia ulitoka kwa Mama yake mzazi. Nguvu
zilimuishia, alikuwa akiongea na mteja ofisini
kwake lakini...
Wana J , nina umri wa miaka 35 na ninapenda sana chating na kutoka/kutembea maeneo mbalimbali, Shida yangu nahitaji Mdada Mmoja wa kuchat nae na kuwa natoka nae, SIO KIMAPENZI, awe mjanja kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.