Baridi hili Lina Uchochezi

CHIBA One

JF-Expert Member
Nov 16, 2018
560
2,087
Wazee wanzangu, nimekuja jiji la Mwanza kwa mwezi mmoja sasa. Kola ninaporudi hoteli niliyofikia nahisi kama mashuka yamemwagiwa maji. Mwanza pamegeuka Makambako.

Kwa wale wavuta bange hali inaruhusu, kwa sisi wapigaji Serengeti hali inaruhusu na kwa Wa misingi kiuno hali inaruhusu kabisaaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
6db28b83fdaf6d9392e878ef2486c5c0.jpg


Ndio wakat muafaka huu...ukiwa na uhakika wa kupata mgeni ndio unatoa vitu hivi kwny kabati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom