Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Habari za weekend tulivu wapendwa. Naitwa Kasie Mahaba kwa wale wasionitambua aka Kβ moja
Matata.....
Mwaka ndo ushaanza nimerejea kazini vivo hivyo Dadii. Malengo ni kusaka shekeli ili mwisho wa mwaka kula bata hadi kuku apate homa ya mdondo hehehehe. Wakati huo akiba ipo mahsusi kwa uwekezaji na kutunisha pension.
Nna Mahaba tangu ijumaa nilikuwa na kosa wasaa wa kuyaelezea mahaba yangu hapa, sasa acha leo nijimwae mwae kwa raha zangu.....
Dadii, wewe ni mtu muhimu sana kwenye maisha yangu. Nakupenda nakuheshimu nakujali na nakupa ushirikiano wote kwa lililo ndani ya uwezo wangu, (ila ukileta makafyondo nakutukana vilevile π π π kama hivii.... *** you....)
Unajua ukinitukana huwa nasemaje ππππ taaamuuu..... tena Dadiiii niongeze ingine aahahahahahahhahaah, hivi Dadii unajua makafyondo ni nini ...??!
Okay, nisitoke nje ya mada, Dadii najua unaendelea kuzichanga kwa malengo popote unapokuwa na unalofanya, malengo yako yatimie. Si mkristo safi ila najua kuombea mema pale penye bidii. Mie nimerejea kwenye soko la samaki .....(natumai unakumbuka siku ya kwanza kuhusu ......Fish Market)napambana na kazi na siku zote umenitaka nitie bidii kazini.
Mahaba yangu kwako hayajasimama na hayajakoma sababu tuko mbali bali kwa nyimbo hizi hapa chini..... kumbato lako bado nnalo, nalala nalo kila siku, mamba wa dark blue pia ni alama ya uwepo wako, kila nikienda Mall, nakuwa na mamba..... I just love you Dadiii mmmuuaaah!!!
What else should I say, in next vacation issues will be cleared..... tuwapo hai wazima na wenyewe afya...... korokocho zitakuwa nyingi humuuu.
You are the man I love Dadiii, the one I cheering being with, the one I treasure....mmmuuuah!!!
Am keeping you forever and for always....
Amishuuu already Dadii.....
Kasie Kitoko Tosimbana Matata.