dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
Eti mazee? Wale wadada wazuriii wanaofunga nywele zao ndefu kwa nyuma, wale warefu wenye shape na wanavaa magauni marefu, wale wenye matumbo flat, wale wasiovaa mawigi, mnawatoa wapi?
Mi nakutana na magumegume tu. Aah mpaka ngachoka mimi.
Jamaa kaingia na mdada mkali sana hapa. Ngoja nione kama naweza pata namba maana am sure jamaa hajamuoa bado. Usikute anamfuja tu mtoto mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app