Ingekuwa wewe ungemshaurije?

Aiba

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
2,039
3,879
Habari za njanuari wapendwa? Moja kwa moja kwenye mada.

Nina rafiki yangu ambaye nafanya naye kazi tumeshibana sana, na tunashauriana sana kwa mengi hasa kuusu maisha na tunataniana mara nyingi.

2017 alipata ajali ya gari alikuwa ndyo kamaliza masomo yake baada ya kupata nafasi ya kujiendeleza kimasomo akiwa kazini. Ilikuwa ajali mbaya sana kwake, ajali ambayo ilimfanya akavunjika miguu yote miwili na pingili mbili za uti wa mgongo kupishana ivyo alifanyiwa operesheni nane Muhimbili.

Ajali Ile ilimuweka miaka miwili kitandani bila kutembea zaidi ya mazoezi madogo madogo aliyokuwa anafanyiwa akiwa kitandani apoapo. Kwa sasa hali imetengamaa japo anatembea kwa magongo mwili haujawa sana tena.

Kabla ya ajali alikuwa na mke na watoto wawili saivi jogoo hasimami sababu ya Ile ajali mkewe hamu anapata japo ajawai mwambie mmewe moja kwa moja.
Mmewe saivi hana furaha ya ndoa.

Ameomba ushauri kwangu afanyaje maana bado ana wivu na mkewe anunue mboo ya bandia mkewe ajiudumie mwenyewe au amuche akaolewe kama akibahatika kumpata mwanaume mwingine japo alishamwambia mwanamke wazo la kuachana akamkatalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwake,Mungu muweza atamponya na atarudi dimbani.

*Pia atambue sio kila mwanamke ni mroho wa mboro..so aache kujiachanisha na mkewe..aamini atapona na ashiriki maombi

Ushauri: dark side
na kama anangangania zaidi...mshauri amteue Rafiki yake (ambaye ni wewe) awe anamsaidia hilo jukumu nzitoo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshikaji kama nguvu za kiume hana basi ni kheri akubali matokeo amwachie demu aende zake. Kwani Kuendelea kuwa na huyo mke wakati chakula cha usiku hawezi kumpa nadhani ni kujitakia matatizo siku zijazo.

Ipo siku mke atamletea mume mwenzie ndani kitu ambacho si kizuri.
 
Dah mkuu kuuwana uko aisee mapenzi ni wivu akuachie tena ww mnayefaamiana bora ata ndugu yake ila mm cwezi

Mke hataki na familia haijaafiki inaona kama jamaa akibaki peke yake anaweza pata msongo wa mawazo zaidi akajiuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama hajakuambia ujue atakuwa hajalifikiria...na pindi akingamua ukweli huo nadhani atakuomba umsaidie

Umeeleza hajiwezi na hajimudu;ni lipi jema LA yy kufanya..chagua..
~waachane na mke akaolewe kwingine? Huku familia ikisambaratika..
~au amruhusu mkewe 'achungie' nje ya zizi lao.!?

Dah mkuu kuuwana uko aisee mapenzi ni wivu akuachie tena ww mnayefaamiana bora ata ndugu yake ila mm cwezi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke hataki na familia haijaafiki inaona kama jamaa akibaki peke yake anaweza pata msongo wa mawazo zaidi akajiuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mke hataki sawa ila mwambie mshikaji ajiandae kwa lolote kama tatizo lake likiendelea kuwa kama lilivyo. Binafsi nazijua akili za wanawake hawachelewi kubadilisha gia angani hatakama sio wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom