Hivi huwa mnavumilia vip kuto ku do mke akijifungua?

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,600
Heri ya mwaka mpya wadau,

Ni furaha nimeanza mwaka na kuitwa baba. Imekuwa heri sana sikuwah kuwaza kama ingeweza kuwa soon kiasi hiki sababu mapenzi yetu yamekuwa hai si zaidi ya miaka 2.

Katikati ya mapenz motomoto ikatokea kwamba akapata mimba, kwake yeye ilikuwa ni pigo coz hakutegemea. Ila kwangu kimoyomoyo nilifurahia ili at least nijihakikishie nafasi ya penzi langu kwake.

Kuna watasema namsifia, ila kuna ile hali unatembea na mwanamke halafu unaona kabisa watu wengi wanapiga vijicho upembe na wenye guts wakitupa maneno ya hapa na pale ili mradi tu basi kutuliza nafsi zao.

Yeye alikuwa akifanya kazi kwenye mini supermarket moja maeneo ya mikocheni, so ikawa inanilazimu kwenda kila siku kumchukua maana alikuwa akitoka usiku sana na kwa kweli sikuweza kuhimili kumuacha atoke peke yake. Nilikuwa nauoga sana ikizingatia sikua mzoefu kwenye haya mambo nikajisemea hapa nikiwa mzembe anaweza kuchukuliwa huyu.

Cut long story short, mapenzi yetu yalianza kwa moto mnooo na alivopata mimba ilibidi niendeleze kumpenda na this time nilichukua jukumu la kuanza kumpikia.. Kwa miezi karibu 5 aliongezeka sio chini ya kilo 15 na all this time tulikuwa tunaenjoy sex sanaaaa...

Ilibidi alivokaribia kujifungua nimpeleke babati kwa mama angu.. Ili akishajifungua arudi huku. Na tangu aondoke ni takribani miezi 3 imepita..

Ila sasa changamoto nnayopata sasa ni mihemko imekuwa mikubwa mnoooo kwasababu nilikuwa nimeshazoea ku do inafika time sasa naona kabisa kwamba inavoelekea itabidi tu nitafute suluhisho la mda mfupi.

Yaani imefika kipindi naenda hata job lakini unakuta automatically machine ipo ON most of the time mpaka nahofia kama nikiitwa ghafla ntasimamaje, kitu ambacho hakikuwa kinanipata mchumba alivokuwa around.

Kwa kweli ni matatizo mnoooo.. Ikizingatia na huku barabarani unakutana na hivo vibinti vingine vimejazia basi inazidi kuwa tabu sana.. Na wengine huko makazini ndo balaaa..

Ila mchumba kuna siku ananiambia ki utani.. " baba utumie condom" .. Mi namchekea tu na nakuwa naniuliza kama anajua tayar shida nnayopitia..

Nimewaza kuwa nafanya mazoezi ila mda unabana sana..

***

SO HIVI WANAUME WENZANGU, HUWAGA MNACHUKUA HATUA GANI KATIKA HICHI KIPINDI CHA KAMA MIEZI MITATU MKE AKISHAJIFUNGUA??

MNAWEZAJE KUHIMILI KUTO KU DO NJE? AMA INARUHUSIWA HATA MARA MOJA TU IKIMRADI KUCHUKUA TAHADHARI ZA AFYA?











Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suluhisho la muda mfupi linaweza likageuka na kuwa kaburi lako na familia yako. Watakuja wanaume wenye akili wakutie akili njema jinsi ya kukabiliana na changamoto yako pasipo kuelekea upotevuni. Hongereni sana

Btw ujauzito ujao, make sure unakaa na mkeo mwenyewe hadi anajifungua. Kwa sasa hali yake ikiwa poa, mrudishe tu fasta
 
Suluhisho la muda mfupi linaweza likageuka na kuwa kaburi lako na familia yako. Watakuja wanaume wenye akili wakutie akili njema jinsi ya kukabiliana na changamoto yako pasipo kuelekea upotevuni. Hongereni sana

Btw ujauzito ujao, make sure unakaa na mkeo mwenyewe hadi anajifungua. Kwa sasa hali yake ikiwa poa, mrudishe tu fasta
Asante kwa ushauri dada.. Na nimempigia simu jana nikimuambia tu aje haraka.. Najua uwepo wake utasaidia sana hata kama sitafanya..

Niwe tu mkweli pia kwamba mimi pia ni muoga sana wa ku du na wanawake ki holela tangu kilichonipata sinza 2015

...2015 nilijikuta tu nipo Sinza kuna marafiki zangu walinipeleka.. Wao walienda kwa nia ya ku do na malaya.. Mi nikajisemea aaaah ntakuwa muangaliaji tu.. Weeeeh nilijikuta tu nipo juu ya binti wa watu. Mara vuuup Condom ilikuwa imepasuka ..

Baada ya lile tukio niliishi maisha ya mawazo sana na kujilaumu.. Imagine nikifikia hatua ya kumtafuta yule malaya nikamrubuni kwenda kupima ile nipate comfort.

Nashukuru alikuwa yupo safi, nikajisemea hapa nimeokoka sitorudia tena .. Hata hapa nipo kwenye hii hali lakini siwez katu kutafuta malaya.. Naogopa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Miezi mitatu mke bado yupo kwenu?

Kama namuona Mr Devil anavyofurahia kinachofata.

Mfate huyo bi dada mtwange mashine keshapona huyo.
Daaah.. Ni shida sana rafiki yangu aliniambia inatakiwa uvumilie hata miez mitatu.. Nikaona aaah hii itakuwa rahisi sana ila kwa kweli nimeuona mtiti wake..

Ni wanaume wachache sana wanaweza kuvumilia hii hali..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom