Nisaidieni namna ya kumpata mke wangu

Nisaidieni namna ya kumpata mke wangu

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,535
Habari zenu ndugu zangu ,
Ukweli sipo vizuri toka tarehe 18 mke wangu alipoondoka asubuhi ,

Awali nilimnyang'anya simu usiku wa kamkia jana nimekuja kuikagua simu yake nikabaini alikuwa na mahusiano na mwanaume mwingine ,

Kwa kweli ni stori ndefu sana ndugu zangu naombeni mnisaidie namna ya kumpata popote alipo pia namba za mwanaume aliyenae ninazb ila amezima simu pia jana nilimpigia nikamuuliza akakataa hamjui mke wangu ila ushahidi wa sms alizokuwa akimtumia mke wangu ninazo,

NAWASIHI SANA IWE KI UTAALAMU (UGANGA) AMA KWA NAMNA YOYOTE MNISAIDIE NATESEKA KAZI SIWEZI KUFANYA KWA AJILI YAKE,

PICHA YA MKE WANGU HII HAPO CHINI KWA YEYOTE ATAKAE MUONA ANIAMBIE.

Pia ameniaxhia mtoto wa mika 2 bila nuruma
IMG_20181225_174025.jpeg
IMG_20181225_173413.jpeg
IMG_20181212_151622.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wako wengi san mtaani wenye tabia nzuri na wana uhitaji wa ndoa. Tena unaonekana una maisha mazuri, na una body km ya @NoelMtalo why uteseke? Vuta jiko jingne chapchap achana na huyo mwanamke mpumbavu.
 
Ndio pote nimetoa taarifa ila polisi wameniambia niende kesho

pia ukweni nimetoka leo wamesema nikimpata nimpeleke kwao wao watajua cha kufanya
huyo mwanaume unayemhisi kuwa anakuharibia ndoa yako yuko mkoa gani na anaitwa nani?
 
Anaitwa GENGE MASHANBA yupo humu Geita mkuu na jana nilizungumza nae kwa namba 0763378413 ambaayo mpaka sasa haipatikani
 
Habari zenu ndugu zangu ,
Ukweli sipo vizuri toka tarehe 18 mke wangu alipoondoka asubuhi ,

Awali nilimnyang'anya simu usiku wa kamkia jana nimekuja kuikagua simu yake nikabaini alikuwa na mahusiano na mwanaume mwingine ,

Kwa kweli ni stori ndefu sana ndugu zangu naombeni mnisaidie namna ya kumpata popote alipo pia namba za mwanaume aliyenae ninazb ila amezima simu pia jana nilimpigia nikamuuliza akakataa hamjui mke wangu ila ushahidi wa sms alizokuwa akimtumia mke wangu ninazo,

NAWASIHI SANA IWE KI UTAALAMU (UGANGA) AMA KWA NAMNA YOYOTE MNISAIDIE NATESEKA KAZI SIWEZI KUFANYA KWA AJILI YAKE,

PICHA YA MKE WANGU HII HAPO CHINI KWA YEYOTE ATAKAE MUONA ANIAMBIE.

Pia ameniaxhia mtoto wa mika 2 bila nurumaView attachment 999660View attachment 999661View attachment 999663

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke anaachaje mtoto mwenye afya kama nzuri kama hivi ateseke?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Utampata tu,bahati nzuri una pakuanzia (adui yako unamjua);ila akirudi uamuzi ni wa kwako kuendelea ama kutokuendelea.
 
pole mkuu,lets pray aliyekuibia asome huu ujumbe aingiwe na huruma,akirudi sijui itakuwaje..mweh
 
Ndugu yangu pole sana.

Acha kuwaza uganga na uchawi.
Piga moyo konde, maumivu yataisha tu.

Waza kazi yako, wapo wanawake wengi sana wanaoiwazia nafasi hiyo.

Toa taarifa zake za usaliti
1. Polisi
2. Na kwa wazazi wake pia

Then, waambie live
Hata akipatikana siko tayari kuishi naye.

Kisha tafuta mrembo mwingine kubalianeni muanze maisha.

Back
Top Bottom