Habari zenu wakuu, natumai mko salama kabisa,
Mwakani nahitaji kuoa nimechoka kuwa bachela, nipo ktk harakati za kupata mtu sahihi ili awe mke wangu, hivyo basi, nahitaji maombi yenu ( kwa Mungu)...
Kama mnavyojua maisha hayana formula kuna wengine kwa kiasi chake mwenyezi Mungu amewabariki na kuwapa maisha mazuri Kiasi cha kuweza kutoa msaada kidogo kwa ndugu pale shida inapojitokeza...
Kwanza nianze kwa kuwapa shikamoo wakubwa zangu.kuna kitu kinanishangaza Sana katika mahusiano ya binadamu,Ni rahisi kukuta watu wanaume wakiongea pamoja na kutaniana.yaani kwa mfano ninaweza...
Dada usipende kuiga kila style ya kugegedana halafu ukamfanyia mpenzi wako. Angalia kwanza mwili wako kisha tafuta style inayoendana na maumbile yako.
Vinginevyo, badala ya kumpa raha mpenzi wako...
Baada ya kufunga chuo Likizo ya Mwezi wa kumi na bee nikiwa Fas ya Kijenge juu Chugamaican nikaamua kutimba Tripple A FM kucheki izo mbishe na mbanga za field bablae,,
Picha linaanza chaliako...
Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa kunipa uzima hadi leo nimekuwa mtu mzima nafikiria kuoa.
Pia shukran za pekee ziende kwa wazazi wangu ambao walionyesha upendo wa dhati tangu nikiwa mdogo hadi...
Huu si ukabila bali preference ,haya makabila mawili wakae pembeni pia anaeona amekulia moshi au bukoba ajue naye atafyekelewa mbali ,kama amewahi kunywa gongo za bukoba au mbege naomba afanye...
Ukiwa nao Chumbani au Kichakani au katika Kiuficho fulani tayari kwa zoezi la Kuzini ukitaka ' Ugombane ' nao wakati mnajiandaa Kushughulikiana ' Kibaiolojia ' Wewe chojoa / vua Suruali yako yote...
Okkk...me na mrembo wangu anamatatizo ya kusikia (kiziwi) kiukweli tunapendana sana pamoja na matatizo yake ila moyo wangu wote upo kwake nampenda sana kila kitu kuhusu mapenzi nampatia ili...
Wasalaam
Natumaini kila mmoja ni bukheri wa afya , napenda kuchukua fursa hii, kuomba maoni, ushauri kwa wenyeuzoefu
Mimi ni kijana chipkizi kiumri ni shabab mwenye afya njema but now nipo...
Habari zenu wanaJamii.. Nina imani mko Salama kabisa..
Kwa mara nyengine tena nimekuja na story hii.. inayohusu, ni namna gani nilivyouanza na kuumaliza mwaka wa 2018.
Nirudishe Historia nyuma...
Huyu ni Shishi Trump anafuraha kupita maelezo kwa kuolewa na Uchebe.
Twende mbele turudi nyuma hapa mjini utadanga wee ila mwisho wa siku ndoa utaihitaji tu. Na kama ukifika 40's haujaolewa...
1.Anakua mjanja sana majisifu kibao akiwa na wanaume wenzake Tu.:cool:
2.Anaongea sana akiwa mbali na mwenza wake.
3.Mkianza story za mademu tu Anahama kijiwe:D
4.Akimuona demu wake anasahau hata...
Habr tena wana Jf....
Chukueni hii kuna demu ambaye anaitwa monica afu siyo mweupe? Au mzuri? Kwa utafit nloufanya hawa madem wenye hili jina ni weupe na wazuri pia.
Sent from my iPhone using...
Wapendwaa Habari zenu?
Mpaka nimefikia hatua hii siyo kwamba huku nilipo hakuna wanaume sababu ni kwamba mimi ni mwajiriwa wa serikali nimepelekwa ktk kijiji kimoja hapa Tanzania kiukweli...
Ebana dunia hii: Tunashuhudia mengi hasa kwa hawa wanaojiita wadada wa mjini.
Demu anapiga ki skirt kiko juu ya mapaja, kajikanda make up, Kucha za bandia sjui wanaoshaje hata hzo papuchi...
Robo ya Maisha yangu niliishi Moshi-Kibosho, kuanzia Std 1-form 1. Kwa muda wote nimekuwa nikiishi na bibi.....
Sasa bhana, Tangu nije hapa kuna binti huwa anakuja hapa nyumbani anasaidia saidia...
Je, kuna madhara yoyote kwa mtoto wa kiume kwenye maisha ya badae kukua bila mzazi wa kiume/male figure?
Huwa nasikia kutoka kwa wanasaikolojia kuwa anaweza asiwe 'man enough' au kamili kutunza...
Hakuu habari ya usiku. Hii habari nisipowapa leo hakuna mwingine atakaekuja kuwapa😂.
Mimi ni certified player, mwenye platnum membership card kwenye jumuia, ila mwaka jana nikadhamiria kua...
Baada ya mpenz wangu kupelekwa polis nilikuja kugundua hakulala central aliachiwa akarudi hom.
Ila bado kesi inaendelea na hajataka kunitaja kabisa.
Sasa mm kwenye harakati za kutafuta kazi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.