Habari za saa hz wakuu,moja kwa moja niende kwenye mada...kusema ule ukwel ndoa sio kitu cha mchezo mchezo kwa kwel,kwann nasema hv coz nimepractice hii kitu,kivipi?...jibu ni kuwa nina mademu...
Oke one plus one
And baby can it be me and you
Only you and I .only us under that roof..
My power girl is hot .
Damn. There she is next to me
So deep into me( in my sense yo)
..tatata play...
Kuna bwana mmoja alioa mchumba wa kutokea shuleni. Walipendana sana, walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike kabla maradhi kumfika yule mama na alifariki. Yule bwana aliachwa na binti wa miaka...
Wakuu nina rafiki yangu ni zaidi ya kaka kwangu. Cha ajabu ananiambia nisiende kwake akiwa yeye hayupo yani akibaki mke wake ina maana mimi siwezi enda pale nikapiga stori na mke wake? Sijui ana...
Naomba nifahamishwe Hapa hivi Ndoa ya Kiserikari ina nguvu kama ilivyo ndoa ya Kidini?
Je ni vipi kama ukiikana ndoa hiyo mala tu baada ya wewe kutoka kuifunga?
CC Zero IQ
Mtapata tabu sana,mtapotezeana muda mwingi mno,kuachana hamuwezi na kuoana haiwezekani pia.
HII NI SUMU MBAYA SANA KAA MBALI NAYO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mara nyingine wapendwa, hopefully muwazima, niwashukuru wote kwa michango yenu kimawazo. Si haba yamenipa mwangaza, Mashallah Cc:Madame S. Umeniwakilisha vema. (Umejaribu kuvaa viatu vyangu)...
Ndugu wana Jf me naswali, una uncle wako ambaye ni kaka wa mama yako sasa yeye si anamke ambaye ni aunt yako sasa utata unakujaje?
Hyu aunt yako ana dada yake, sasa hyu dada ake ana mtoto kisu...
Salaam kwa wanabodi,
hivi ikitokea wewe mke au mume kwenu yaani kwenye familia yenu mmeuza nyumba au shamba au kuna mgao fulani wa fedha umepata,may be milioni 5 au kumi au kias chochote kingi.
Je...
*WANASEMAGA WANAWAKE HUWA WANAZEEKA HARAKA...HASA AKIWA BADO HAJAOLEWA...!*
Hili nimejionea mwenyewe...
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
_KUNA BIDADA MMOJA HIVI KILA NIKIMUONA, SURA IMEKUNJAMANA...MWAKA MMOJA ULIOPITA...
ile ndoto yangu ya kuwa na watoto watatu kwa wanawake watatu tofauti kabla ya mwaka huu kuisha nafikiri inaenda kutimia,
Tayari nimempa mimba msichana mmoja ina wiki 3 sasa bado wasichana...
Wakuu habari za wikiendi?
kwanin imejengeka ktk akili ya kila mwanajamii kuwa mwanamke ndiye anayebakwa? na mwanaume ndiye anayebaka? tujiulize hakuna mwanamke anayebaka? au hakuna mwanaume...
Wasalaamu wakuu hope mko poa....
Kwenye mada moja kwa moja ,mwenzenu cjui nna shida mahari iko ivi...
Nikiwa ata na efu kumi mkononi au hata mpesa najiona nimemaliza kila kitu naridhika kabisaaa...
Wadau, Mimi ni mwanaume....kuna tatizo limenikumba na kuharibu uchumba wangu. Nilikuwa na mchumba wangu nyumbani kwangu,mida ya saa 5 usiku. Kabla hatujalala tukiwa wote,wakati huo nilikuwa...
Kama kichwa cha habari hapo juu unavokisoma, kati ya "Wanawake weupe vs wanawake weusi"
Je, ni wanawake gani wazuri? Au wanavutia kimapenzi? Binafsi madem weupe wananivutia sana hii colour nipo...
Ukienda nchi zote duniani kuna utaratibu wa hunters and escorts
Mtu anakuwa kwa hotel kufanya hunting, pia kuna call girls,
Nimeona huduma hizo
Singapore,
Qatar ila kwa kujificha sana hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.