Dhana ya kubakwa na kubaka?

Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
600
1,000
Wakuu habari za wikiendi?

kwanin imejengeka ktk akili ya kila mwanajamii kuwa mwanamke ndiye anayebakwa? na mwanaume ndiye anayebaka? tujiulize hakuna mwanamke anayebaka? au hakuna mwanaume anayebakwa? tunaelewa vizuri kuhusu kubaka na kubakwa?
binafsi ninavyofahamu dhana hizi ni kuwa kubaka ni kitendo cha kumuingilia kingono "opposite sex" kwako bila ridhaa au makubaliano yake na wewe unayetenda kitendo hicho.

Na kubakwa ni kitendo cha kuingiliwa kingono na "opposite sex" kwako bila ridhaa yako na yeye anayetenda kitendo hicho.
sasa tujiulize kama dhana ni hiyo ni kweli wanawake ndio wabakwaji tu? wao sio wabakaji? au mwanaume ndio wabakaji tu wao sio wabakwaji vilevile tujiulize kwa jinsia zote humu ndani wakuu, je kwa dhana hii umebaka au kubakwa mara ngapi??

nb:
zingatia neno ridhaa ya kingono.
nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
donga

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
1,197
2,000
lakini kwa neno moja wanaita sweet painful mwisho wa tendo wote mnafika kileleni
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
9,266
2,000
police are investigating a rape case after a 10-year-old boy was allegedly raped by his 29-year-old female cousin on Monday night.
 
Mnazareth

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
3,454
2,000
Ticha Mnazareth
Soma hiyo! Utoe mawazo yako halafu mimi nita hitimisha.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Wanawake mnatubakaga ila tu hatusemagi

Kubakwa kiuhalisia ni kitendo cha mtu kufanya mapenzi bila ridhaa yake.Kwa msingi huo mwanaume ama Wanawake wote wanaweza Kubakwa ila changamoto linapokuja suala la ushahidi ni ngumu mwanaume kuthibitisha ubakwaji wake..

Hvyo basi naweza kusema sheria ya nchi yetu imempa nafasi ya upekee mwanamke kwakuwa ndiye awezaye kuthibitisha amebakwa na sheria kufuata mkondo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cute b

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
17,090

Asante kwa maelezo.
Naona msimamo wako ni ule ule.
Inabidi serekali itambue na nyie huwa mnabakwa sheria iwekwe

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
kiumbempole

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
228
250
Wakuu habari za wikiendi?

Kwanin imejengeka ktk akili ya kila mwanajamii kuwa Mwanamke ndiye ANAYEBAKWA? na Mwanaume ndiye ANAYEBAKA??
Tujiulize hakuna Mwanamke anayebaka? au Hakuna Mwanaume Anayebakwa?
Tunaelewa vizuri kuhusu KUBAKA na KUBAKWA?
Binafsi ninavyofahamu dhana hizi ni kuwa KUBAKA ni kitendo cha kumuingilia kingono "opposite sex" kwako bila ridhaa au makubaliano yake na wewe unayetenda kitendo hicho.
Na KUBAKWA ni kitendo cha kuingiliwa kingono na "opposite sex" kwako bila ridhaa yako na yeye anayetenda kitendo hicho.
Sasa tujiulize kama dhana ni hiyo ni kweli wanawake ndio WABAKWAJI tu? wao sio WABAKAJI? au mwanaume ndio WABAKAJI tu wao sio WABAKWAJI?
Vilevile tujiulize kwa jinsia zote humu ndani wakuu, JE KWA DHANA HII UMEBAKA AU KUBAKWA MARA NGAPI??

NB:
Zingatia neno Ridhaa ya kingono.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nielewesheni mwenzenu, ni kivipi mwanaume atasisimka kimapenzi bila ridhaa yake? Bila kutamani au kuamua akilini mwake kutenda kitendo hicho? Kivipi kitendo kitafanikiwa bila viungo vya jinsia kuwa tayari?

Conclusion: iwe iwavyo, mwanaume ndiye mbakaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,215
2,000
Wanawake mnatubakaga ila tu hatusemagi

Kubakwa kiuhalisia ni kitendo cha mtu kufanya mapenzi bila ridhaa yake.Kwa msingi huo mwanaume ama Wanawake wote wanaweza Kubakwa ila changamoto linapokuja suala la ushahidi ni ngumu mwanaume kuthibitisha ubakwaji wake..

Hvyo basi naweza kusema sheria ya nchi yetu imempa nafasi ya upekee mwanamke kwakuwa ndiye awezaye kuthibitisha amebakwa na sheria kufuata mkondo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Manzi akinibaka mimi
hiyo siyo rapping,
inaitwa Sexy assault,,
Kwasababu
rape ni penetration..
So mamyloo hawezi
kufanya penetration
bali Chalii ndo atafanya
penetration ktk
kile kitendo,,
 
Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
600
1,000
Kuna Mzee wangu mmoja aliwahi kutuambia ukiona mwanaume ni mwepesi kunyanyua Mkono wake kumpiga mkewe ujue MKONO WA CHINI haufanyi kazi ipasavyo, tukamwambia wengine hata ufanyeje hawaelewi akasema mwanamke awe mbishi vipi ukiutumia "mkono wa chini" kumchapia vzr atakusikiliza wewe hata ukiwa mbali nae.
Mie mkono wa kumpiga mtu sijabarikiwa nao kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom