Tayari nimempa mimba Binti mmoja

Tayari nimempa mimba Binti mmoja

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
ile ndoto yangu ya kuwa na watoto watatu kwa wanawake watatu tofauti kabla ya mwaka huu kuisha nafikiri inaenda kutimia,

Tayari nimempa mimba msichana mmoja ina wiki 3 sasa bado wasichana wengine wawili tu ili ile ndoto itimie ,

Nawish ndoto yangu soon itatimia.



CC Zero IQ
 
Akii, si Kwa uharibifu huo mkuu. Unazalisha kwingine, unachumbia na kuoa kabinti kengine kabichii aisee, Mungu anakuzoom tuu[emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mko wengi ratio ni 1:4, wengine dini zetu kuoa mwisho mmoja tu sasa huko kwingine tunatoa msaada.

CC Zero IQ
 
0.0 x 10³ IQ

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
ile ndoto yangu ya kuwa na watoto watatu kwa wanawake watatu tofauti kabla ya mwaka huu kuisha nafikiri inaenda kutimia,

Tayari nimempa mimba msichana mmoja ina wiki 3 sasa bado wasichana wengine wawili tu ili ile ndoto itimie ,

Nawish ndoto yangu soon itatimia.



CC Zero IQ


Sawa kabisa lakini unakoelekea ni kupata waya kabisa kazana kabisaaa
 
ile ndoto yangu ya kuwa na watoto watatu kwa wanawake watatu tofauti kabla ya mwaka huu kuisha nafikiri inaenda kutimia,

Tayari nimempa mimba msichana mmoja ina wiki 3 sasa bado wasichana wengine wawili tu ili ile ndoto itimie ,

Nawish ndoto yangu soon itatimia.



CC Zero IQ
Ww si ulisema tayari una mtoto kwa wife wako to be ama vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ile ndoto yangu ya kuwa na watoto watatu kwa wanawake watatu tofauti kabla ya mwaka huu kuisha nafikiri inaenda kutimia,

Tayari nimempa mimba msichana mmoja ina wiki 3 sasa bado wasichana wengine wawili tu ili ile ndoto itimie ,

Nawish ndoto yangu soon itatimia.



CC Zero IQ
Single mama future possible tense
 
Back
Top Bottom