Wanawake wanazeeka haraka etii

Wanawake wanazeeka haraka etii

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758

*WANASEMAGA WANAWAKE HUWA WANAZEEKA HARAKA...HASA AKIWA BADO HAJAOLEWA...!*
Hili nimejionea mwenyewe...
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾

_KUNA BIDADA MMOJA HIVI KILA NIKIMUONA, SURA IMEKUNJAMANA...MWAKA MMOJA ULIOPITA NILIMUONA NI TOFAUTI NA LEO...YAANI NI JIMAMA ANAELEKEA KUWA JIBIBI...LAKINI YEYE BADO ANAJIONA BINT TENA KIGOLI...!_
*BASI NDO MAANA KUNA MIJIMAMA INAFANYA MAMBO YA KITOTO KUTEMBEA NA VITOTO VIDOGO(Viben10) NIKADHANI NI TAMAA...KUMBE WANAJIONA BADO VIGOLI...!*

```MY FRIEND UMRI UNASONGA HUO...ENDELEA KUFANYA BIRTHDAY PARTY UKADHANI YOU ARE STILL YOUNG...TUTAKUITA BIBI SO SOON...NA HATUOAGI VIZEE SISI...```

*#SinaNamnaYaKurembaManeno*

*#HekimaZaKakaMkuu*
 
Wanawake wengi wanawahi kuchoka haraka.
Kuna mmoja ni school mate wangu. Tulikutana kwenye gari nikamuamkia nikidhani ni jimama.

Baadae kumbe yeye alinifahamu, baada ya safari ya kama saa 1 akaniuliza, nikamkumbuka.
Nikamwambia anirudishie shikamoo yangu.
 
Inawezekana tunazeeka kweli kuliko nyie kwasababu wanawake wengi tunafanya majukumu yetu na yenu kwa wakati mmoja,.sasa tena kama matunzo yenyewe ya kutafuta kwa tochi,no honey no milk asee lazima tupokee tuu hizo shkamoo kakuna namna...

Ila mm sizeeki jomonii kila siku kama kamdoli vile😊😊teh teh teh...forever young'
 
Wanawake wengi wanawahi kuchoka haraka.
Kuna mmoja ni school mate wangu. Tulikutana kwenye gari nikamuamkia nikidhani ni jimama.

Baadae kumbe yeye alinifahamu, baada ya safari ya kama saa 1 akaniuliza, nikamkumbuka.
Nikamwambia anirudishie shikamoo yangu.
Nikweli mkuu,kuna dada tuligraduate naye standard seven,daah kazeeka kabisa....nimeamini ningumu kuoa classmate wa wako labda itokee tu
 
Inawezekana tunazeeka kweli kuliko nyie kwasababu wanawake wengi tunafanya majukumu yetu na yenu kwa wakati mmoja,.sasa tena kama matunzo yenyewe ya kutafuta kwa tochi,no honey no milk asee lazima tupokee tuu hizo shkamoo kakuna namna...

Ila mm sizeeki jomonii kila siku kama kamdoli vile[emoji4][emoji4]teh teh teh...forever young'
Bila picha hii ni kawaha na sio chai
 

*WANASEMAGA WANAWAKE HUWA WANAZEEKA HARAKA...HASA AKIWA BADO HAJAOLEWA...!*
Hili nimejionea mwenyewe...
[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]

_KUNA BIDADA MMOJA HIVI KILA NIKIMUONA, SURA IMEKUNJAMANA...MWAKA MMOJA ULIOPITA NILIMUONA NI TOFAUTI NA LEO...YAANI NI JIMAMA ANAELEKEA KUWA JIBIBI...LAKINI YEYE BADO ANAJIONA BINT TENA KIGOLI...!_
*BASI NDO MAANA KUNA MIJIMAMA INAFANYA MAMBO YA KITOTO KUTEMBEA NA VITOTO VIDOGO(Viben10) NIKADHANI NI TAMAA...KUMBE WANAJIONA BADO VIGOLI...!*

```MY FRIEND UMRI UNASONGA HUO...ENDELEA KUFANYA BIRTHDAY PARTY UKADHANI YOU ARE STILL YOUNG...TUTAKUITA BIBI SO SOON...NA HATUOAGI VIZEE SISI...```

*#SinaNamnaYaKurembaManeno*

*#HekimaZaKakaMkuu*
Wewe hautozeeka?? au unadhani na wewe hutoitwa kibabu tena kibabu hovyo a.k.a lifataki.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Enyi wanawake wa kitanzania jitahidi kufanya mazoezi kuweka miili imara, pia mpunguze kujiremba sana make up zinazeesha sura, pia wanawake huzeeka mapema kuliko wanaume sababu ya kuzaa ndio maana utaona wale wanawake ambao hawakujaaliwa kupata watoto hua wanaishi muda mrefu na hua warembo.

Kuna mtu kaninong'oneza hapa anasema hadi ndoa huzeesha pia, lol.

Nasisitiza tena, MAZOEZI muhimu.
 
Back
Top Bottom