Changamoto katika kufukuzia manzi.

Changamoto katika kufukuzia manzi.

Kuuliza kwa mwanaume ni tofauti na mwanamke.. Muda mwingine inatokea tu umeibahatisha sehemu(hapa wanaume tunafahamu)

Sasa kama umeulizwa hivyo si useme namba umetoa wapi akuelewe...mimi ukinitafuta namba ambayo siifahamu nitakuuliza ww nani ukishindwa kusema hapohapo nakublock haijalishi wewe mwanaume au mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna naongea na nani? na namba yangu umeipata wapi??
 
Back
Top Bottom