Fahimat
Member
- Feb 6, 2019
- 27
- 29
Kwa mara nyingine wapendwa, hopefully muwazima, niwashukuru wote kwa michango yenu kimawazo. Si haba yamenipa mwangaza, Mashallah Cc:Madame S. Umeniwakilisha vema. (Umejaribu kuvaa viatu vyangu). Wapo walionihukumu kwamba sijatulia, najua yasingekosekana ni mawazo pia that's okay.
Nasikitika Account yangu ni mpya na haijawa approved na moderators ndo sababu nashindwa kureply, nikaona nianzishe hiki kithread hapa msione kimya, napitia maoni yenu. Shukran kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app