Speaking of TRANSPARENCY

Kwa mtazamo wangu naona sio kila kitu ni cha kuweka wazi thou saa ingine unaweza kuficha kitu na once kikija kujulikana inakua balaa jingine labda niseme pia ni kuangalia na uzito wa jambo lenyewe
 
Huwez kusema una mtoto halaf ukaficha usimwambie partner wako but at the same tym huwez kucheat halaf ukakamatwa labda na kiushahidi kidogo then ukakubali
 
Utaijua kweli nayo kweli itakuweka huru nawe utakuwa huru kwelikweli.
Ukichepuka msimulie mkeo jinsi ulivyopiga show ya kibabe nje ya nchi

Hahahahahahhahahah kudadeki na sasa hvi wanawake hawatak ujinga mtaambulia kuchomwa visu vya ubongo
 
Back
Top Bottom