Au nna shida mahari

Au nna shida mahari

Luckme

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
713
Reaction score
758
Wasalaamu wakuu hope mko poa....
Kwenye mada moja kwa moja ,mwenzenu cjui nna shida mahari iko ivi...
Nikiwa ata na efu kumi mkononi au hata mpesa najiona nimemaliza kila kitu naridhika kabisaaa na relax yan cna stress kabsa...co mtu wa kujichanganya kabsa ..ata nisipo kua na mia mfukoni ili mladi nimekula basii cna shida wala stress nnatabia ya kuridhika na nilichonacho huwa cumizi kichwa kabsa kwa vitu ambavyo cna kama pesa cm nzuri mitoko kila weekend kupendeza kusuka manywele ya bei Kali nguo viatu yaaan cna time navyo kabsaa kiac kwamba ata porini naweza ishi....sasa najiuliza hii hali ni kawaida au ndo roho ya umaskini jaman imenikaa hahah mwenyew apa cna ata mia mfukoni lkn najionea sawa tu wala cna habari pia nkiwa na hela wala ciionei ubahiri ukiniomba nakupa cna ile kujibaaana au uchungu nayo cna ....

am better here
 
Endelea kulala utakula ulichoota

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very nice, wote mngekuwa hivyo tungefanya kazi kwa raha na kutimiza majukumu yetu bila stress, vp umeolewa kwanza [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote naona mnajizungusha, mimi jamani ishafunguka nahitaji nikuoe LUCKME yaani uwe mke wangu naamini uwezi kuniuliza habari za kazi gani nafanya wala ninadegree ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom