Kama uchangudoa unafanyika kwanini usihalalishwe, ukaitwa ESCORTING SERVICES serikali ikapata mapato?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Ukienda nchi zote duniani kuna utaratibu wa hunters and escorts

Mtu anakuwa kwa hotel kufanya hunting, pia kuna call girls,

Nimeona huduma hizo
Singapore,
Qatar ila kwa kujificha sana hapa, wanatangaza kiujanja,
Netherlands hapa nimekutana na muhaya anaitwa Kachunkwa, naye anafanya kajichanganya na waholanzi,

Ukienda MACAU, haka ni ka territory kapo juu ya China pale shughuli nyingi kule ni hotel na escorts / Hunting,

Ukiangalia uholanzi 7% ya GDP inatokana na kodi ya hunting and escorts

Kwanini hapo bongo isianzishwe kuwasaidia madomo zege?

Ila ushauri wapimwe, wapewe vituo maalumu, wasisitize usafi,

Kila mmoja awe na EFD machine yake akimpa mtu huduma anatoa receipt,
Hakikisha ukipata huduma unadai receipt,

Mbona mapato yataongezeka?

Mahesabu ya haraka dar es salaam kuna wanawake 2,700,000 ila wanaofanya kujiuza direct ni 600,000
Indirect ni 1,000,000

Wanaofanya kujiuza kulingana na kubagua mazingira na sau ni 200,000

Je hao wote wakitozwa si tunasogea?
 
Ukihalalishwa huenda utapungua

Kuna watu wanapenda kufanya vile vitu vinavyokatazwa

Mara nyingi binti anaelindwa lindwa Na kuchungwa chungwa ndio huwa anawindwa zaid
 
Mkuu rekebisha tarakimu katika takwimu zako..

Haiwezekani dar iwe na wanawake 2,700,000 halafu wanaojiuza wawe 6,000,000 hao ni direct wale indirect 1,000,000 nadhan mahesabu haya yatazidi hata idadi ya watu waliopo dar..

Escort services zipo Tanzania. Unawajua Exotictanzania? Ni mfano mmoja tu huo.
 
Ukienda nchi zote duniani kuna utaratibu wa hunters and escorts

Mtu anakuwa kwa hotel kufanya hunting, pia kuna call girls,

Nimeona huduma hizo
Singapore,
Qatar ila kwa kujificha sana hapa, wanatangaza kiujanja,
Netherlands hapa nimekutana na muhaya anaitwa Kachunkwa, naye anafanya kajichanganya na waholanzi,

Ukienda MACAU, haka ni ka territory kapo juu ya China pale shughuli nyingi kule ni hotel na escorts / Hunting,

Ukiangalia uholanzi 7% ya GDP inatokana na kodi ya hunting and escorts

Kwanini hapo bongo isianzishwe kuwasaidia madomo zege?

Ila ushauri wapimwe, wapewe vituo maalumu, wasisitize usafi,

Kila mmoja awe na EFD machine yake akimpa mtu huduma anatoa receipt,
Hakikisha ukipata huduma unadai receipt,

Mbona mapato yataongezeka?

Mahesabu ya haraka dar es salaam kuna wanawake 2,700,000 ila wanaofanya kujiuza direct ni 6,000,000
Indirect ni 1,000,000

Wanaofanya kujiuza kulingana na kubagua mazingira na sau ni 200,000

Je hao wote wakitozwa si tunasogea?
Tafiti zingine bana ni kama vile zile za kipindi cha uchaguzi
 
Mkuu rekebisha tarakimu katika takwimu zako..

Haiwezekani dar iwe na wanawake 2,700,000 halafu wanaojiuza wawe 6,000,000 hao ni direct wale indirect 1,000,000 nadhan mahesabu haya yatazidi hata idadi ya watu waliopo dar..

Haha nimerekebisha
 
Haya mambo ya kuiga inga kwenye ma nchi yaliyopoteza utamaduni wao ni mbaya sana, mnakumbuka juzi juzi hapa miaka kadhaa imepita nchi hizo hizo zilizopoteza muelekeo wa kiutamaduni zilitaka wauza tigo nao waruhusiwe kuuza tigo zao tu kwakuwa ni haki ya mtu mwenyewe, pooombaf sana
 
Akili hizi hatar sana sio kila unachokiona unatakiwa kuiga na kama ukifata akili yako ikawa ya kuiga iga ngoja niishie hapa nikiendelea ntaandika matusi
 
Mkuu rekebisha tarakimu katika takwimu zako..

Haiwezekani dar iwe na wanawake 2,700,000 halafu wanaojiuza wawe 6,000,000 hao ni direct wale indirect 1,000,000 nadhan mahesabu haya yatazidi hata idadi ya watu waliopo dar..

soma kwa uangalifu mkuu!
 
Back
Top Bottom