Je ni sawa au ni kosa??

Je ni sawa au ni kosa??

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Ndugu wana Jf me naswali, una uncle wako ambaye ni kaka wa mama yako sasa yeye si anamke ambaye ni aunt yako sasa utata unakujaje?
Hyu aunt yako ana dada yake, sasa hyu dada ake ana mtoto kisu sana.
Hyu demu "mtoto wa dada yake na aunt yako" ameanza mazoea mabaya anataka kwichi kwichi,
Swali langu ni kwamba, Je! Ukamla hyu demu kuna kosa??
Majibu niliyopata mimi ni kuwa unaweza kula kiroho safi kwasabu huo undugu hauna mashiko, nimewaletea na nyingi mada hii tupate ukwel zaid.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani huyo dada yake dada yako, kindugu si ni bibi yako shangazi yake....!!??
 
Unaweza kumuoa? Jibu utakalotoa linajibu swali lako
 
Acheni kulazimisha undugu usiokuwepo.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom