Wanawake weupe vs Wanawake weusi

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
3,990
2,000
Kama kichwa cha habr hapo juu unavokisoma, kati ya "Wanawake weupe vs wanawake weusi" Je! Ni wanawake gan wazuri? Au wanavutia kimapenzi?? Binafsi madem weupe wananivutia sana hii colour nipo nayo addicted sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe ni mshamba inaonekana unatoka kanda ya ziwa, wanawake hawapimwi kwakutumia ragi ya ngozi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom