Rafiki yangu hataki niende kwake akiwa yeye hayupo(akibaki mkewe)

Wakuu Nina rafiki yangu ni zaidi ya kaka yangu.. Cha Ajabu ananiambia nisiende kwao akiwa yeye hayupo yani akibaki mke wake ina Maana mimi Siwezi enda pale nikapiga stori na mke wake? sijui Ana Maana gani..

Nisaidieni hapa wajuzi Ana Maana gani hapa? Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unataka kupiga stori na mke wa mtu ili iweje, Hauna wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Nina rafiki yangu ni zaidi ya kaka yangu.. Cha Ajabu ananiambia nisiende kwao akiwa yeye hayupo yani akibaki mke wake ina Maana mimi Siwezi enda pale nikapiga stori na mke wake? sijui Ana Maana gani..

Nisaidieni hapa wajuzi Ana Maana gani hapa? Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga utakujaje kwangu wakati mimi sipo? Sometime marafiki uwe na mipaka jamani,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Nina rafiki yangu ni zaidi ya kaka yangu.. Cha Ajabu ananiambia nisiende kwao akiwa yeye hayupo yani akibaki mke wake ina Maana mimi Siwezi enda pale nikapiga stori na mke wake? sijui Ana Maana gani..

Nisaidieni hapa wajuzi Ana Maana gani hapa? Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi huna kazi ya kufanya?
unataka ukapige stori na mke wa mtu iweje?
Kwani mke naye rafiki yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Nina rafiki yangu ni zaidi ya kaka yangu.. Cha Ajabu ananiambia nisiende kwao akiwa yeye hayupo yani akibaki mke wake ina Maana mimi Siwezi enda pale nikapiga stori na mke wake? sijui Ana Maana gani..

Nisaidieni hapa wajuzi Ana Maana gani hapa? Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana maana hataki uwe na mazoea na mke wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom