Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ACHA KUMDHALILISHA MKE WAKO MBELE YA WANAO Inawezekana mke wako hazalishi chochote, si kwamba hafanyi kazi lakini anfanya kazi za nyumbani ambazo hazina kipato cha moja kwa moja. Inawezekana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijui nini na nini..... Hayo maneno ya watu.... watu.... Kila leo nauboresha upendo kati yetu Dadii.... Wewe ndo kiboko changu, nicharazee hadi niombe poo.... Nakupenda sana, nakupenda mnoo...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Mambo vipi ladies wa Dodoma. Naitwa Godson ninatafuta girlfriend wa kunisapoti kwenye maisha ambaye ikiwezekana baadae atakua mchumba wangu na nitamwoa. Ninataka kuwa milionea mkubwa na safari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna Wale wasichana Unakuta Sawa Wewe Mvulana unajiona kabisa huna kitu Ila Anakupenda Tu hivyo hivyo Hadi Unajiuliza Hivi Utajiri wangu Uko Ndani Kwa Ndani Ama Nasema Mbarikiwe Sana
1 Reactions
8 Replies
1K Views
INASEMEKANA: Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima huku Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2. Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa...
15 Reactions
180 Replies
59K Views
Wakuu yamenikuta pana binti mmoja jirani yangu kitaa ninachoka aisee tuseme tu nikama dada kanisaidia sana mpaka leo nimefika 21 shule ya msingi kanivusha sana balabala maana alinizidi madarasa 5...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kabla ya Ndoa kuna aina mbili:- 1. ANAYETAKA TU ILE SHEREHE IONEKANE NA IJULIKANE NA YEYE KAOLEWA.(Aina hii ni ya hatari), hawa ndio ndoa zao hazizidi mwaka zinakuwa zimevunjia, kwa sababu lengo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo nilikua naingiza Nyimbo kwenye banda 1 la stationary nilimkuta Dada m1 very beautiful.. Japo akili yangu niliwaza lazima atakua na mtu tu. Nilikua nahamisha Nyimbo kutoka kwenye simu kupeleka...
3 Reactions
84 Replies
10K Views
Habari wanajamiforum? Leo nimeamua kuleta somo linalohusu umuhimu wa kuhonga ktk mapenzi. Watu wengi hawaelewi umuhimu wa kuhonga kwenye mapenzi na kuanza kufikiria mambo mabaya naomba...
14 Reactions
233 Replies
27K Views
Direct kwenye mada.. Wanawake jaribuni kuwa na huruma japo kidogo, yani juzi tu apa nimemnunulia demu wangu smart cha kushangaza ikifika saa nne usiku tu kila nikipiga ipo busy mpaka saa tano...
3 Reactions
101 Replies
9K Views
NASEMA NA WEWE Usiyejua maana ya upendo kutwa kucha unamfanya mwenzio kama kinanda anakulilia wewe na wala hujali thamani ya machozi yake. Siku zako zinahesabika ipo siku na wewe utalia zaidi...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana Jf, Kwanza niwapongeze ndugu zetu mliofika jana uwanja wa taifa kuipa support ya nguvu timu yetu ya taifa [emoji1241]..... Back to the topic! Naomba kuuliza hivi ni...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wanaume wenzangu kama una mpenzi wako na mpo kwenye mahusiano zaidi ya mwaka lakini hata siku moja hajawahi kujamba mbele yako basi tambua kwamba kuna vitu vingi anakuficha. Jiulize kama tu kitu...
10 Reactions
100 Replies
18K Views
Wadau ninavyoandika uzi huu nawaza leo tena sijui atanitokea ndotoni sura yake huwa siioni namuona akiwa ufukweni tu sura anajificha sana. Kila akinitokea asubuhi najikuta nimejichafua bukta Kwa...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Dah wanawake kabla hujaolewa unakua kondoo ukiolewa unakua chui,mnatupa shida sisi mawifi roho inauma ila tukiaema mnasema si wakorofi....wakaka kuweni makini na wanawake mnaochagua kuwa wake
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Why people cheat and the tell-tale signs to look out for Sarah Carty,Yahoo Style UK 19 hours ago Certain personality types are more likely to cheat. [Photo: Getty] Affairs are more common than...
1 Reactions
0 Replies
552 Views
Najua kuna wengine waongo waongo watasema bado wanahongwa laki na kuendelea lakini ukweli ni kuwa kwa hali halisi na uhakika kwa sasa Tanzania yetu na hasa toka 2019 ianze hakuna mpenzi wa...
12 Reactions
264 Replies
25K Views
Mi ni mfuasi wa huyo jamaa ktk akaunt yake ya Instagram. Katika kuperuzi huko nikakutana na mada hii ambayo ni janga kubwa kwa vijana. Nimekuwa nikisoma malalamiko haya humu, idadi kuwa ya vijana...
1 Reactions
13 Replies
47K Views
Mwanamke atakudanganya kupitia make-up, photo angles, filters. Uongo kuwa amekutana na mbôœ 6 wakati ni zaidi ya 20 Sasa kwanini na wewe usimdanganye? Hakuna anaye play fair kwenye game ya...
0 Reactions
4 Replies
930 Views
Hakuna kiumbe ambaye anayeitwa shetani wengi mlishindwa kuelewa kwa usahihi ile stori kuhusu malaika mkuu kutaka kufanana na MUNGU na kisha kutupwa huku duniani na kuwa shetani..ukweli wa Mambo Ni...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom