Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakati mwingine dada zangu huwa mnachekesha na sijui nani kawaloga kwakua mnmajitengenezea mambo yenu huko kichwani na kutaka wanaume kuyafuata. Kwanza mnajua kuwa wanaume wengi ni waongo, mnajua...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kabla ya salam naomba niseme kuna watu wameumbwa huku duniani.. Natumai mu wazima wote. Leo namleta kwenu beki tatu wetu uniambie kama demu wako anaona ndani..[emoji28] Sifa ya kwanza beki tatu...
2 Reactions
49 Replies
8K Views
Nilitokea kufamiana na mdada mmoja kwa mazoea tuliyokua nayo tukajikuta tupo ktk mahusiano ya kimapenzi ambayo sio rasmi, lakini sikutaka kua nae kwasabab ana mume, sababu za kua nae ni yeye...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Nchi zilizoendelea serikali inahudumia mahitaji muhimu ya raia. Hii ni kuhakikisha kila raia ana sehemu ya kulala, chakula, huduma za afya, elimu na pesa kidogo ya kununulia mavazi yanayoendana...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Kama unafahamu fika kuwa mkeo huwa anakufanyia massage na nyumbani kwenu mna mafuta ya massage nakushauri uchungulie mahali ambapo huwa anayaweka. Endapo hutayaona, muulize yapo wapi. Kuna mke...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika mahusiano hakuna raha kuwa na mahusiano na mwanamke atakaye-kuchallenge katika mahusiano kiujumla na kimaendeleo Kitendo cha kuwa na mwanamke mrs yes man kunapunguza raha katika mahusiano...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
ACHA KUMDHALILISHA MKE WAKO MBELE YA WANAO Inawezekana mke wako hazalishi chochote, si kwamba hafanyi kazi lakini anfanya kazi za nyumbani ambazo hazina kipato cha moja kwa moja. Inawezekana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijui nini na nini..... Hayo maneno ya watu.... watu.... Kila leo nauboresha upendo kati yetu Dadii.... Wewe ndo kiboko changu, nicharazee hadi niombe poo.... Nakupenda sana, nakupenda mnoo...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Mambo vipi ladies wa Dodoma. Naitwa Godson ninatafuta girlfriend wa kunisapoti kwenye maisha ambaye ikiwezekana baadae atakua mchumba wangu na nitamwoa. Ninataka kuwa milionea mkubwa na safari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna Wale wasichana Unakuta Sawa Wewe Mvulana unajiona kabisa huna kitu Ila Anakupenda Tu hivyo hivyo Hadi Unajiuliza Hivi Utajiri wangu Uko Ndani Kwa Ndani Ama Nasema Mbarikiwe Sana
1 Reactions
8 Replies
1K Views
INASEMEKANA: Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima huku Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2. Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa...
15 Reactions
180 Replies
59K Views
Wakuu yamenikuta pana binti mmoja jirani yangu kitaa ninachoka aisee tuseme tu nikama dada kanisaidia sana mpaka leo nimefika 21 shule ya msingi kanivusha sana balabala maana alinizidi madarasa 5...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kabla ya Ndoa kuna aina mbili:- 1. ANAYETAKA TU ILE SHEREHE IONEKANE NA IJULIKANE NA YEYE KAOLEWA.(Aina hii ni ya hatari), hawa ndio ndoa zao hazizidi mwaka zinakuwa zimevunjia, kwa sababu lengo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo nilikua naingiza Nyimbo kwenye banda 1 la stationary nilimkuta Dada m1 very beautiful.. Japo akili yangu niliwaza lazima atakua na mtu tu. Nilikua nahamisha Nyimbo kutoka kwenye simu kupeleka...
3 Reactions
84 Replies
10K Views
Habari wanajamiforum? Leo nimeamua kuleta somo linalohusu umuhimu wa kuhonga ktk mapenzi. Watu wengi hawaelewi umuhimu wa kuhonga kwenye mapenzi na kuanza kufikiria mambo mabaya naomba...
14 Reactions
233 Replies
27K Views
Direct kwenye mada.. Wanawake jaribuni kuwa na huruma japo kidogo, yani juzi tu apa nimemnunulia demu wangu smart cha kushangaza ikifika saa nne usiku tu kila nikipiga ipo busy mpaka saa tano...
3 Reactions
101 Replies
9K Views
NASEMA NA WEWE Usiyejua maana ya upendo kutwa kucha unamfanya mwenzio kama kinanda anakulilia wewe na wala hujali thamani ya machozi yake. Siku zako zinahesabika ipo siku na wewe utalia zaidi...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana Jf, Kwanza niwapongeze ndugu zetu mliofika jana uwanja wa taifa kuipa support ya nguvu timu yetu ya taifa [emoji1241]..... Back to the topic! Naomba kuuliza hivi ni...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wanaume wenzangu kama una mpenzi wako na mpo kwenye mahusiano zaidi ya mwaka lakini hata siku moja hajawahi kujamba mbele yako basi tambua kwamba kuna vitu vingi anakuficha. Jiulize kama tu kitu...
10 Reactions
100 Replies
18K Views
Wadau ninavyoandika uzi huu nawaza leo tena sijui atanitokea ndotoni sura yake huwa siioni namuona akiwa ufukweni tu sura anajificha sana. Kila akinitokea asubuhi najikuta nimejichafua bukta Kwa...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Back
Top Bottom