Wanawake wa Aina hii ni hatari kaa nao mbali

Wanawake wa Aina hii ni hatari kaa nao mbali

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Leo nilikua naingiza Nyimbo kwenye banda 1 la stationary nilimkuta Dada m1 very beautiful.. Japo akili yangu niliwaza lazima atakua na mtu tu. Nilikua nahamisha Nyimbo kutoka kwenye simu kupeleka kwenye flashi akaniambia zisipo play utajulisha nitakupa namba ya simu .

Kidogo tu akatoa simu 1 kali Sana ilikua inaita.. Ile anapokea ikaita nyingine kali kama Ile ile tena kuliko yangu.. Nikagairi hata kuchukua namba yake ya simu.

Nikaaga akasema vipi namba ya simu nikamwambia nitakukuta naenda hapo kununua vocha nitarudi.. Ki1 hadi home..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Our doubts are our traitors which often make us lose the gain we might have won by failing to attempt!Mwanmke anapenda kuambiwa napendwa mkuu hata kama anamiliki nini!Neno nakupenda linatosha kumlainisha!Acha uoga wako mkuu uwe mwanaume sio mvulana!
Mkuu Ile kitu hatari bwana sijapanga kumiliki wanawake wa Aina Ile hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom