Wanawake semeni ukweli, usawa huu kuna mwanaume wa kukupa Tsh. 30,000?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,074
42,852
Najua kuna wengine waongo waongo watasema bado wanahongwa laki na kuendelea lakini ukweli ni kuwa kwa hali halisi na uhakika kwa sasa Tanzania yetu na hasa toka 2019 ianze hakuna mpenzi wa kuthubutu kukupa 30,000 pap kwa mara moja.

Sanasana amekuhonga labda elfu kumi ambayo haina kazi. Mambo yamebadilika si utani. Mtakoma na usawa huu tutaheshimiana.

Asante baba Magufuli umeturahisishia mambo sasa hivi ukitoa hata 10,000 tu wanawake wanakutolea macho.
 
Najua Kuna wengine waongo waongo watasema Bado wanahongwa laki na kuendelea.lakini ukweli Ni kuwa kwa Hali halisi na uhakika kwa Sasa Tanzania yetu na hasa toka 2019 ianze hakuna mpenzi wa kuthubutu kukupa 30000 pap kwa Mara moja.sanasana amekuhonga labda li ten ambalo halina work.Mambo yame change sii utani,mtakoma
Mkuu juzi nimempa wife 2 be 100k (laki moja) ya matumizi yake na katoto kangu, je inawezekana mimi pekee ndio nimebakia kama mwanaume pekee muongaji kwa usawa huu mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua Kuna wengine waongo waongo watasema Bado wanahongwa laki na kuendelea.lakini ukweli Ni kuwa kwa Hali halisi na uhakika kwa Sasa Tanzania yetu na hasa toka 2019 ianze hakuna mpenzi wa kuthubutu kukupa 30000 pap kwa Mara moja.sanasana amekuhonga labda li ten ambalo halina work.Mambo yame change sii utani,mtakoma
We huna pesa ninahonga zaidi hata ya mara 10 ya hiyo sema inategemea na mwanamke mwenyewe na ukaribu tulio nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom