inaweza kukusaidia mwanaume,usisite na wewe kutupia ushauri wa kigentlemen

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,259
Mwanamke atakudanganya kupitia make-up, photo angles, filters. Uongo kuwa amekutana na mbôœ 6 wakati ni zaidi ya 20

Sasa kwanini na wewe usimdanganye?

Hakuna anaye play fair kwenye game ya mapenzi

Yakifika mwisho lazima kuna mmoja atabaki na kinyongo na maumivu

Hakikisha sio wewe,Yeye ndio alie
 
Sawa mjeda..tumekupata vyema.

However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Vitu vonavyofanya niwe na good day

-Sex
-Muziki mzuri
-chakula nikipendacho
-kufurahi na familia
-kucheka na kula bata na washkaji huku mademu wakituchora kwa mbali
-Kupata deal mpya La PESA
-kusafiri na gari kali

Vtu hvyo hunifanya niwe na siku ya furaha
 
Back
Top Bottom