Chahali tips: Sababu, Madhara na Suluhisho la Kujichua-

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Mi ni mfuasi wa huyo jamaa ktk akaunt yake ya Instagram. Katika kuperuzi huko nikakutana na mada hii ambayo ni janga kubwa kwa vijana. Nimekuwa nikisoma malalamiko haya humu, idadi kuwa ya vijana wakike na kiume wameshindwa kuondokana na tatizo hili.

Binafsi kwa vijana wa kiume, wengi tumepitia humu. Na asilimia kubwa ya walio acha huu mchezo ni pale atakapo kuwa anaishi na mwanamke au ameoa au ni rahisi kupata mwanamke pale atakapo hitaji kukidhi haja ya kufanya mapenzi.

Hizi ni baadhi ya Tips ambazo zutasaidia kuondokana na tatizo hili.

Credit: Evarist Chahali
 

Attachments

  • Screenshot_2018-08-20-09-34-45-139_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2018-08-20-09-34-45-139_com.instagram.android.jpg
    112.7 KB · Views: 79
  • Screenshot_2018-08-20-09-34-27-839_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2018-08-20-09-34-27-839_com.instagram.android.jpg
    67.4 KB · Views: 78
  • Screenshot_2018-08-20-09-34-08-851_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2018-08-20-09-34-08-851_com.instagram.android.jpg
    101.1 KB · Views: 86
Suala la kijichua tusilifanye kuwa suala la kitaifa hili ni jambo la mtu na utashi wake.

Acha watu wapige Selfie.
Mkuu hili ni tatizo zaidi ya madawa ya kulevya sema inaonekana ni aibu kulielezeaaa.

Asilimia kubwa ya wanao pungukiwa na nguvu za kiume hutikana na hili tatizo.

Wengi wanasema hivyooo!!

Hili ni janga zaidi ya madawa ya kulevyaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatoa ujumbe kwa namna tofauti..ngoja nisubiri watu wa fasihi..mimi ni dy/dx
 
Back
Top Bottom