Kutoka na mke wa mtu akiwa mjamzito

Kutoka na mke wa mtu akiwa mjamzito

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,503
Reaction score
2,276
Habari za muda huu wana Jf,

Kwanza niwapongeze ndugu zetu mliofika jana uwanja wa taifa kuipa support ya nguvu timu yetu ya taifa [emoji1241].....

Back to the topic!

Naomba kuuliza hivi ni madhara gani mwanamke mjamzito atayapata endapo atakuwa anashiriki ngono na mwanaume mwingine ambae si mimba yake tena bila kutumia condom?

Nawaza kuhusu hilo.....naomba ufafanuzi kama zile mbegu za mwanaume mwingine kama zina madhara yoyote kwa mtoto aliyoko tumboni mwa mama.

Naomba kuwasilisha wakuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo mbegu za mwanaume mwingine zitakupa wewe na mtoto UKIMWI. Acha umalaya.
 
Habari za muda huu wana Jf,

Kwanza niwapongeze ndugu zetu mliofika jana uwanja wa taifa kuipa support ya nguvu timu yetu ya taifa [emoji1241].....

Back to the topic!

Naomba kuuliza hivi ni madhara gani mwanamke mjamzito atayapata endapo atakuwa anashiriki ngono na mwanaume mwingine ambae si mimba yake tena bila kutumia condom?

Nawaza kuhusu hilo.....naomba ufafanuzi kama zile mbegu za mwanaume mwingine kama zina madhara yoyote kwa mtoto aliyoko tumboni mwa mama.

Naomba kuwasilisha wakuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
pumbaviu
 
MADHARA NI LAW OF KARMA NDUGU, KAMA SI MKEO NI MTOTO WAKO KAMA SI MTOTO WAKO UNAWEZA KUWA WEWE UKALIPIA HICHO KITENDO.
 
Vijana wapo so insecure mnachowaza ni kutembea na wake za watu na mademu wa rafiki zenu,kula wanawake tigo,kutembea na wazee,kula wajawazito...mtafanya Yote lakini mwisho wa siku,
" the feeling of worthless will still remain deep down"

Huwezi kufeel uanaume wako kwa kufanya vitu hivo hapo juu mtazeeka na majuto mengi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea tu kwani ipo siku na ww utapewa mimba na mume wa mtu
 
Roho haikuumi kuvuruga shamba la mwenzako lenye mazao ambayo hajakomaa?

Upanga wa roho mtakatifu ukushukie wewe na huyo mwanamke [emoji53]

Watu wengine sijui wana matatizo gani?

UKAHABA NI JANGA LINGINE LA TAIFA UKIONDOA CHAMA CHA M-----.
 
Habari za muda huu wana Jf,

Kwanza niwapongeze ndugu zetu mliofika jana uwanja wa taifa kuipa support ya nguvu timu yetu ya taifa [emoji1241].....

Back to the topic!

Naomba kuuliza hivi ni madhara gani mwanamke mjamzito atayapata endapo atakuwa anashiriki ngono na mwanaume mwingine ambae si mimba yake tena bila kutumia condom?

Nawaza kuhusu hilo.....naomba ufafanuzi kama zile mbegu za mwanaume mwingine kama zina madhara yoyote kwa mtoto aliyoko tumboni mwa mama.

Naomba kuwasilisha wakuu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi wanawake wenye mimba wanatongozeka? Utamchafua na kumharibu mtoto wa mwenzio, hapo ni ishu ya ubinaadam zaidi kuliko tamaa unazotaka kufanya!
 
hilo ni swali mkuu, hakuna aliefanya hicho kitendo hapa, nimejaribu tu kuwaza nijue

Back
Top Bottom