Niaje, JF MMU members?. Naombeni mnifundishe jinsi ya kuandika uzi matata. Kila siku nipo nasoma tu nyuzi za wanaMMU naona hali ngumu kwelikweli naogopa hata kuoa [emoji23].
Vidole tayari vinauma...
Ukweli ni kuwa;
Kadiri unamvyompenda sana mwanamke ,ndivyo unavyokaribia kumpoteza.
Wanawake kiujumla wanavutiwa na wanaume walio wababe, wenye misimamo na wasiojali sana. Wanawake hawapendi...
Habari zenu ndugu zangu wa MMU. Yafika miezi kadhaa sasa tangia niingie katika ndoa na kwa kweli niliweza kufanikiwa kabisa, achilia mbali kuacha kufanya yaani hata kuwaza kuhusu kupiga puchu...
Wakuu poleni na uchovu wa siku nzima.
Nina demu wangu ambae tulifahamiana na kuanza mahusiano kwa muda sasa.
Ila kuna tatzo kidogo katika mahusiano yetu. Mpenzi huyu ananilalamikia almost kila...
Habari ya muda huu wakuu.
Bila kulazimishwa na mtu yoyote nimeamua kwa hiyari yangu mwenyewe kua mwaka ujao nahitaji kua na mwanamke wangu ambae nimemuoa.
Nimewaza sana kuhusu maisha na umri pia...
Sijui wanawake mkoje na mkiambiwa mnasema, "hakuna mada zingine zaidi ya hizi?" tutabadilisha mada kulingana na matokeo yenu.
Ni kwamba huyu mdada amesha-date na wanaume kama sita ndani ya mwaka...
Masomo mengine buree, nilipata kusikia hii Siri kwamb ukigonga mwanamke Kama nyota yenu inawakawaka utashuhudia mazurii, Kama ni kimeo, mzee nuksi nuksi tu.
Wiki kadhaa huko nyuma nilimtokea...
Kwa uhenga nilionao,na wanaume ninaowapenda nimeona inakuwa ngumu kupata mwanaume ambae hana mtoto.au bikra.nakutana na used tupu.walio bikra wapo ila wapo complicated kuliko hali ya vyama vya...
Wakuu wanajamvi bila kupoteza mda iko ivi mke wangu kajifungua mwezi wa12 mwaka jana baada ya kujifungua nmekaa wiki tatu bila kufanya chochote,
Sku kazaa zilizofuatia nmefanya tendo mara kazaa...
Wadau kuna tabia imekomaa kwa akiri yangu kwa namna ambayo nimeshindwa kabisa kuikontrol au kuacha kabisa.
Kifupi ni kwamba nina girlfriend wangu niko nae for 5years sasa kwa up and down ila kuna...
Nadhan toka Jumapili niliwaambia nilikuwa na mgeni wa Kimataifa alikuja TZ kwa ajili ya kufanya show nami nikiwa mtanzania pekee niliyechaguliwa toka jukwa hili la MMU kuwakilisha ndugu zangu mlio...
Mwaka 2012 nlikuwa dodoma kikazi. Mara nyingi tu huwa naenda mkoa huo na mikoa mingine kikazi. Nlikuwa nmefikia kwa jamaa yangu yeye alikuwa anaishi zile nyumba za serikali alikuwa anafundisha...
Habari wakuu,
Kichwa chajieleza,
Mimi ni mmoja wa watu nilie kuzwa na single mother japo mama yangu aliolewa tena, mpaka leo yupo na baba angu wa kambo. Najua humu kwenye jukwaa hili kuna watu...
Natumai wote muwazima kabisa.leo naomba tupeane uzoefu wa kuangalia njia ambazo unaweza kutumia kufikia lengo lako la kumpata mke mwema hasa kupitia mitandao ya kijamii vile Hapa JF na FB N.K...
Habari zenu wapendwa,
Kila jamii ina utaratibu wake linapokuja suala la ndoa..utaratibu wa kabila langu siujui kiundani ila naomba niwashirikishe utaratibu huu niliowahi kukutana nao.
Ni hivi...
Mdada unamuona ana mtako m big kumbe kavaa chupi yenye kumuongezea mzigo alafu na nguo zinawabebaba Sana ukienda naye guest akivua nguo utashangaa mbona ka pass.akiwa mjini utadhani kajazia kumbe...
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyosomeka Hapo Juu ...., Naitaji Mwanamke Ambaye Yupo Serious And Not 4 Joke
SIFA ZANGU
Nina Miaka 27
Mkristo
Mjasiliamari
Elimu: Nimeishia Ngaz cheti
SIFA ZA...
Huyu mwanamke nilimwambia wewe ni mke wa mtu mimi ni mume wa mtu hivyo penzi letu ni siri sawa na tukakubaliana kwamba dhumuni la penzi letu ni kufarijiana kwa kuwa kila mmoja anaweza akawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.