wasichana wa Dodoma: Natafuta girlfriend.

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
332
1,000
Mambo vipi ladies wa Dodoma.

Naitwa Godson ninatafuta girlfriend wa kunisapoti kwenye maisha ambaye ikiwezekana baadae atakua mchumba wangu na nitamwoa. Ninataka kuwa milionea mkubwa na safari ndio naianza hivi karibuni, hivyo nahitaji mpenzi wa kuwa nami kwenye hustle.

sifa zangu.
1. Umri 25 yrs, elimu bachelor class of 2018, naishi Dodoma mjini. sina mpango wa kuajiriwa lakini nimeanza harakati za kujiajiri naamini ndani ya muda mfupi mambo yatakuwa sawa.

2. Appearance doesnt matter ila nipo vizuri sana in case msichana akapenda boyfriend mwenye mwonekano mzuri. handsome, tall, sixpack zipo kidogo, gentleman looking classy always. sijisifii ila ndio uhalisia huo.

3. Ni mkristo though sio mshika dini sana, sijawahi kunywa pombe, sijawahi kuvuta sigara, sijawahi kubet, sijawahi kuvuta bangi. Nilikuwa na mpenzi wangu lakini sioni uelekeo wowote hana mentality ya kijasiriamali. sijaona kama anafaa kutokana na mahitaji yangu.


sifa za girlfriend nimtakaye:

1. umri 25 and below, elimu at least ya form four, awe anaishi dodoma mjini kwa sasa.

2.awe na sura nzuri ikibidi black beauty, chura awepo hata kwa mbali, asiwe mfupi sana, ajitahidi kidogo kuwa updated na maisha.

3. dini yoyote, asiwe mlevi na mpenda starehe sana, awe na mentality ya kibiashara kidogo.

Kwa mwenye sifa hizo au anayekaribia sifa hizo anicheki pm. Ninachotaka ni kupata mtu ambaye baada ya miaka kadhaa nitaleta mrejesho kuwa tulianza from the scratch na sasa tumefika hapa. sio kwamba huku mtaani hamna mademu, wapo wengi ila mpenzi anapatikana popote

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom