Walai we dada nakupenda sana sio siri.
Nyuzi zako zinaniumiza nafsi na mwili..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania 3 Uganda 0.....put your dancing shoes onNaomba utanipa matokeo tafadhali...
Waiting....
Nakutumia location PMWoow, na nilivyo na kiu usiku huu ... Nije uelekeo upi kutoka kaskazini mashariki,?
Am ready to go by the way....
Hahaahahahahahaa kiaje??!
Mpenzi nikolezee...nicharazee hadi niombe poo.... ..... hii misemo hatari tayari namtafuta mtu wa kutamka hiyo misemo popo washaamka, na leo tunapiga vinywaji kwa nusu bei... mtoto anapiga dompoo kukata lock.. hatari lakee hilooo oooohoooo... sio la dunia hii