Fahamu umuhimu wa kuhonga katika mahusiano ya mapenzi

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,495
Habari wanajamiforum?

Leo nimeamua kuleta somo linalohusu umuhimu wa kuhonga ktk mapenzi.
Watu wengi hawaelewi umuhimu wa kuhonga kwenye mapenzi na kuanza kufikiria mambo mabaya naomba niwasilishe kama ifuatavyo:

1. KUHONGA HUBORESHA MAPENZI:

Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako unamfanya ajihisi kama ni wapekee kwako, atajiona kama ni mmoja wapo kati ya watu wenye thamani kwako na huamini kama kweli upo karibu yake na unamjali.

Hali hii humfanya yeye kushindwa kutolipa mazuri kwako.
Wengi kabla ya kuomba papuchi hutanguliza hongo kwanza, si lazima iwe pesa hata hongo ya sifa za uongo na ukweli.

Kwa kuhonga kwako inamlazimu na yeye kulipa fadhila kwa kuonesha upendo wa dhati na utamfanya azidishe mapenzi kwako.

2. KUHONGA KUNAJENGA SANA KUMBUKUMBU KATIKA MAPENZI:

Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako inakusaidia wewe kujijenga katika mawazo yake na endapo kama itatokea mkaachana nae basi pindi mpenzi wako atakapokuwa anaziona zawadi zako zitamfanya akukumbuke kwa mengi na atahisi kama kuachana na wewe kwake kuna tofauti na atajihisi kupoteza vingi toka kwako na kamwe kumbukumbu yako kwake haitofutika kila anapoona vitu ulivyomhonga.

Jitahidi sana unapohonga usihonge pesa tu, honga vitu vya kudumu maana huwa asset yako ya baadaye, pindi unapotokea mkwaruzano baina yenu.

Pesa huwa ni hongo inayovutia kwa muda mfupi na husaidia kupata kile unachokitaka kwa muda mfupi, ila jua atazitumia zitaisha utakuwa hujajenga misingi imara ya mapenzi.

Simaanishi kuwa usimpe mpenzi wako hela, hapana ila inabidi ufahamu kuwa pesa hutumika katika kukidhi mahitaji na sio katika kuboresha mapenzi.

Nyongeza:

Aisee jifunzeni kuhonga mpunguze stress za mapenzi.

Demiss (Cha mdeko )
 
Hivi hii ina apply kwa wanaume tu au hadi wanawake!!? Maana isije ikawa wadada mnajijengea mazingira ya kutupiga[emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee hunipendi wewe umenikumbusha mbali sana togwa iliyochacha kama soda ya sprite
Haswaaa, ila mi nakupenda asee ndio maana nimekwambia ukweli [emoji4][emoji1]
 
Hivi hii ina apply kwa wanaume tu au hadi wanawake!!? Maana isije ikawa wadada mnajijengea mazingira ya kutupiga[emoji28][emoji28][emoji28]
Wote tunapaswa kuwajibikaaa
 
3. HONGO INALETA NYEGE
Yaaani hata kama huna mpango ila papuchi ikiona pesa au kijizawadi inaanza kulowa ....... walaaaah hiyo siku utapewa uno la hatari, style zote mtoto yumo hii siku hata ukiamua kumkunja kunja kumbinua binua mtoto anakunjika hayo mahaba sasa !!!!Tena vizur mtu akiwa anaangilia ulichompa inazidi kumnyegesha utashangaa mnaweza gongana siku nzima na papuchi bado inataka.......
Hongo na iheshimiwe na watu wote maana inafanya penzi liwe jipyaaaaaa ,poleni saana mijanaume(mijitu) mibahili isiyojua kutoa (kumtreat/spoil)mdada mnakosa mengi aiseee.
 
Yaani sijui akili iko wapi mie, eti nilidhani kuoga, kumbe kuhonga[emoji15] [emoji15]
[emoji16][emoji16][emoji16]ulivyoona Demiss tu ukawaza mbali urojooo urojooo
 
Back
Top Bottom