Wadada wapumzisheni kaka zetu

Wadada wapumzisheni kaka zetu

feysher

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
2,656
Reaction score
2,776
Dah wanawake kabla hujaolewa unakua kondoo ukiolewa unakua chui,mnatupa shida sisi mawifi roho inauma ila tukiaema mnasema si wakorofi....wakaka kuweni makini na wanawake mnaochagua kuwa wake
 
Wifi nae ni mke wa mtu na ni wifi kwa dada wa mume wake!!

Kwa hiyo na wewe kwa mawifi zako ni kichomi?
Jifunzeni kufata yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah wanawake kabla hujaolewa unakua kondoo ukiolewa unakua chui,mnatupa shida sisi mawifi roho inauma ila tukiaema mnasema si wakorofi....wakaka kuweni makini na wanawake mnaochagua kuwa wake
Aisaee !! Naona Kama tunaishi nyumba moja... Maana kilasiku (nimenuniwa, amevimba hasemi nsmi akisema NI ukali tu)!!
 
Back
Top Bottom