Mimi ni mwanaume naishi kahama shinyanga mwenye miaka 39 mi mweusi sio sana ni mlefu wastan tu sio mnene wala mwembamba dini yangu mwislam situmii kilevi chochote
Natafuta mwanamke wa kuishi nae...
Huu ni wakati mabadiliko mengi ya kimwili, kiakili, kihisia, na mahusiano yake kijamii hutokea. Mabadiliko ya kibailojia yanayoleta kubadilika kwa homoni hupelekea kuanza. Wavulana huanza kuota...
Kumekuwa na ubishani kwamba yupi ni sahihi kuoa au kuolewa nae kati ya mtoto wa shangazi, mtoto wa baba mdogo, mtoto wa kike wa baba kwa mwanamke mwingine na mtoto wa kike wa mama kutoka kwa baba...
UPENDO
Ndoa lazima iwe na upendo usio na mipaka Kwa pande zote mbili, (unconditional love) ukiingia kwenye ndoa Kwa kumpendea mtu kitu fulani siku hiko kitu kikiwa hakipo upendo utaota mbawa...
Wadau sitaki kuongea sana..
Wewe unaonaje apo kati ya kulea mtoto na kusimamia gari lako unaloliendesha kila siku ni kipi kinakuwa na gharama kubwa?
Inategemea na gari...sawa!!sema kulingana na...
Wanawake mnatakiwa mjue kitu kimoja unapotongozwa usilinge na kujiona wewe mzuri sana wengine huwa wanachukua mazoezi wasije feli pale wanapo kutana Na watoto wakali,
Sijui kama tumeelewana...
Sometimes life huwa linakwenda vile ambavo hatutarajii but one of the biggest strength of human being lies on is friendship, ndo maana kila unapokwenda unajitahidi kupata rafiki hata kama ni mgeni...
NASEMA...
Utakutana na mwanaume alie bora mara moja tu katika maisha yako. Inawezekana ukawa umepitia katika mahusiano na wanaume kadhaa lakini utakutana na mmoja tu ambae ni kama Mungu alimtuma...
Sio wamama wote ila Ni wale ambao Wana vaa nguo za kimtego mtego nikikutana nao sijui huwa natoa ujasiri wapi wa kuwakonyeza na kuwatabasamia.yaani MUNGU anisaidie Sana niache hii tabia nimekuwa...
Mahusiano ya ndoa Kama yanafikia hatua hiii hapo ya kutolala kitanda kimoja duh Basi kweli kazi ipo...
Mapenzi ya MUNGU yatimizwe hapa duniani Kama mbinguni yaani kunakuwa hakuna namna wajibu...
Tumia vyema ujana wako kwa kuwala type mbali mbali za mademu ili ata ukizeeka usije kujawa na tamaa,
Umepewa nguvu na Akili ya kuweza kumudu kila game sasa kwa nini ujivike ulokole wakati mwili...
Usiforce...
Usitumie akili nyingi nguvu nyingi pesa nyingi mbinu nyigi mpaka watu wengi kumufanya mtu flani akuelewe kwamba umeridhia kua naye na unamupenda kweli kweli.....
Au kutaka mahusiano...
Wanaume acheni ujinga hvi demu ukishamla kuna haja ya kuendelea kumpa pesa,?? Wajinga ndo wanaliwa hapa. Demu kama hujamla kumpa pesa ni contant "k" kwa tulio soma calculus tunajua.
Sasa wewe...
Wadau wazima?
Je, wanawake wasipokuwa na hela hamuwaoi?
Kwa maana nimeona wanaume wanasema kuoa mwanamke asiye na hela atakuwa mzigo tu ila mkisaidiana maisha yataenda vizuri na mtasaidiana...
Yaan mtu anaweza kosea namba ndo ukawa mwanzo wamahusiano wengine wanaenda mpaka kufunga ndoa, wengine kwa sababu mnakua mnakutana kutana sehemu ya kula ndo unakua mwanzo wa mahusiano
Wengine...
Yaani mke wangu kila nikimuomba tendo ananinyima nikijaribu kumpapasa napigwa kifuti eti akinipa tutamualibu mtoto ambaye ana miezi minne mpaka sasa
jamani nashindwa la kufanya juu ya hili swala...
Habarini wana jamvi...
Juzi juzi nimeombwa na rafiki yangu wa karibu ambae anatarajia kufunga pingu za maisha hivi karibuni...
Na ameniomba nimsimamie harusi yake kama best man na mchumba wangu...
Habar zenu wana jamii...
"Inawezekana kuanzisha mahusiano na mtu kisha msihusishe suala la ngono ndani yake? Yaan muwekeane malengo kwamba hamtoonyeshana miili yenu isipokua ndan ya ndoa pekee.."...
Habari wakuu,
Leo ni siku ya furaha sana baada ya tukio la kufunga ndoa. Kweli nmeamini haya mambo ya ndoa sisi binadamu ndo tunafanya yawe Magumu.
Leo Alhamis tumeamkia bomani kufunga ndoa...
Maisha magumu sana kiasi kwamba furaha kwangu imekuwa ni nadra sana muda wote nakuwa serious shukrani kwa taifa stars na kwa hii ndoto ya Jana kwa kunipa furaha japo kwa kipindi kifupi. Picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.