Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,745
- 25,678
ACHA KUMDHALILISHA MKE WAKO MBELE YA WANAO
Inawezekana mke wako hazalishi chochote, si kwamba hafanyi kazi lakini anfanya kazi za nyumbani ambazo hazina kipato cha moja kwa moja. Inawezekana hajasoma kama wewe.
Inawezekana anatoka katika familia masikini kuliko yako, inawezeakana ni mgumu sana kuelewa mambo. Lakini kama umemuoa na ni Mama wa watoto wako jua kua ni mshirika sawa katika ndoa yako.
Uhusiano wako na mke wako ni wa usawa bila kujali vipato vyenu mnapaswa kuheshimiana sawa. Kuna baadhi ya wanaume hupenda kuwadharau wake zao tena mbele za watoto.
Kupenda kuwaonyesha labda kama Mama yao hajasoma, Mama yao hajui mambo mengi au Mama yao anatoka katika familia ya kimasikini. Hakuna kitu kibaya kamka kumdhalilisha mkeo mbele ya wanao.
Inawezekana akawa amekosa au amefanya kitu kibaya, busara ni kumuita ndani na kuongea naye kistaarabu. Acha kumtukana mkeo na kumfanya kama mtoto mbele ta watoto wako.
Kumbuka kuwa wale ni watoto wake kama ilivyo wewe watoto wako, tena yeye ana uhusiano wakipekee na imara zaidi kwa watoto kuliko wewe.
Unaweza kudhani labda unamkomoa mkeo, labda unamdhalilisha ili watoto wakuone wewe ni wa maana zaidi, una akili zaidi na kukupenda zaidi klakini si hivyo. Kumdhalilisha mkeo kunaweza kukuondolea mapenzi kwa watoto wako.
Kwasasa unaweza usione kua ni tatizo kwakuwa watoto bado ni wadogo, wanakusikiliza kwa kila kitu na wanakuona kama unachofanya ni sahihi, wakafuata unayoyafanya na kumdharau Mama yao.
Kwasasa wewe ndiyo mwenye hela hivyo unawapa watoto kila wanachohitaji na wanaweza kukupenda zaidi. Lakini huko baadaye wakishakua na akili zao na kukumbuka uliyokuwa ukimfanyia Mama yao wanaweza kukuchukia na hata kukutelekeza kwa kukuona Baba mbaya.
Tena wanakutelekeza katika kipindi ambacho huna nguvu na huna chochote ulipaswa kuetegemea wao. Kuwa Baba mwema hakikisha watoto wako wanamheshimu Mama yao kama wanavvyokuheshimu wewe.
Kabla ya kumdhalilisha mkeo mbele ya watoto unapaswa kukumbuka mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza ni wale ni watoto, hawajui chochote unapomdhalilisha Mama yao wakamdharau.
WaNakua hawamthamini unawajengea kiburi, unawafanya
Wawe wabaya wa tabia