Mwanamke atakudanganya kupitia make-up, photo angles, filters. Uongo kuwa amekutana na mbôœ 6 wakati ni zaidi ya 20
Sasa kwanini na wewe usimdanganye?
Hakuna anaye play fair kwenye game ya...
Hakuna kiumbe ambaye anayeitwa shetani wengi mlishindwa kuelewa kwa usahihi ile stori kuhusu malaika mkuu kutaka kufanana na MUNGU na kisha kutupwa huku duniani na kuwa shetani..ukweli wa Mambo Ni...
Hii tabia imekithiri kwa wadada wengi sana, unamtongoza mwanamke anakukubalia unakua nae kwenye mahusiano lakini kabla hajakupa mautamu anaanza kukupiga mizinga mara nina shida hii mara nina shida...
Wakuu hbr,
Hivi unajua kuwa binadamu hasa mwanaume hutumia AKILI KUBWA SANA wakati anapotaka kumpata mwanamke wa kuingia nae ktk mahusiano?
Lakini pia Mwanamke ni moja ya Nafasi yake ngumu ktk...
Kuna jambo ambalo me huwa nafikir then sipati jibu la uhakika, kuhus hawa dada zetu wenye tabia ya kuweka pin puani.Hivi kwa mwanamke anajielewa anaweza fanya ujinga kama huo wa kuweka au kutobo...
Kumekua na usemi hasa tukiwa ktk vijiwe na au pale tunapokutana na washkaji, huwa tukipiga story za madem zetu kuwa tumewapiga bao kadhaa na wengi hujinadi kwa kupiga bao7 mara 5 na kadharika hasa...
Umepata bwana, umempenda kweli kweli na umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi akakupeleka
Wewe badala hata utake...
Siku za hivi karibun nilishobokewa na manz aliyetemwa. Kiukweli Kuna kajikisrani hivi.
Usithubutu kujiona kidume ubebe uweke ndani. Fanya uchunguz wa kina. Kuna mengi Sana yaliyojificha ndan ya...
KUNA baadhi ya watu husema kuwa hawapendi ndoa kwa madai kwamba hazina �dili�. Je wewe msomaji unasemaje?
Kwa mtazamo wangu ndoa ni muhimu pamoja na ukweli kuwa baadhi ya ndoa zina...
Wakuu nimetoka kufanya negotiations na binti wa kifipa kule rukwa! lakini sijui hawa watu Wana hulka zipi ukimweka ndani kwa wale wajuzi wa hili kabila!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajamvi?!!!! Leo nimeona niulize haka kaswali kidogo.. Hivi ni sahihi kwa mwanamke kuomba kugegedwa kila siku?!! Je hii hali itakua inaashilia nini labda Je atakua na matatizo ya pepo la...
Napenda sana kusaidiana na watu awe ndugu jamaa au rafiki, lakini nikija kwenye suala la kukupa usafiri na mafuta yake siwezi.
Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja. Ishu ni kwamba ukija...
Kama mzazi, Dada au Kaka nadhani ni kitu kizuri kama utajua Dalili kua mwanao anafanyiwa ukatili. Tatizo kubwa hapa nikuwa wengi wanaofanyiwa hivi hufanyiwa na watu wao wa karibu, watu ambao wewe...
Za sa hizi wana jf mimi Nina swali?
MF.. Umeamua kuachana na mahusiano amabyoa hanaya faida ukaamua kumove in na maisha yako lakini ikatokea unarafiki tu ambaye mlisoma nae. Shule moja na...
Wadau,
Tushirikishanae wenye uzoefu na wanaojua saikolojia ya mwanamke anaepanga kukupiga kibuti, me kuna dalili zifuatazo nimeziona kwa mpenzi wangu
1. Amekua mkali sana, nikimuuliza jambo lolote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.