Maneno yakumwambia anaehisi anakupenda

Maneno yakumwambia anaehisi anakupenda

rome drizy

Member
Joined
Aug 29, 2018
Posts
14
Reaction score
14
Wakuu yamenikuta pana binti mmoja jirani yangu kitaa ninachoka aisee tuseme tu nikama dada kanisaidia sana mpaka leo nimefika 21 shule ya msingi kanivusha sana balabala maana alinizidi madarasa 5 sasa kila wiki anaforce kunipa mzigo nikikgomea mara akasilike visa vingi . leo nimechezea kichapo aiseee toka kwa bwana wake ambae aliniambia wameachana miaka miwili sasa tangu aniambie waliachana sasa NIMWAMBIAE MANENOGANI MAGUMU TU! naona ananibania fursa tu.
 
Moyo wangu si jabali umeshindwa kustahamili bora niwe muazi kwako moyoni nakupenda, sikwambii haya mdomoni mwangu tu sababu umejaa moyoni mwangu. Kila nikijizuwia unaichanganya akili yangu naomba uyapokee maombi yangu ili uwe wangu nami niwe wako wa milele.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
kaka daaa iyo mineno mitamu yani fupi kali niscreen shot
Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Moyo wangu si jabali umeshindwa kustahamili bora niwe muazi kwako moyoni nakupenda, sikwambii haya mdomoni mwangu tu sababu umejaa moyoni mwangu. Kila nikijizuwia unaichanganya akili yangu naomba uyapokee maombi yangu ili uwe wangu nami niwe wako wa milele.

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Huu ndio utapeli wa mapenzi
 
China kuna chuo cha kusomea madomo zege
 
Moyo wangu si jabali umeshindwa kustahamili bora niwe muazi kwako moyoni nakupenda, sikwambii haya mdomoni mwangu tu sababu umejaa moyoni mwangu. Kila nikijizuwia unaichanganya akili yangu naomba uyapokee maombi yangu ili uwe wangu nami niwe wako wa milele.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Mzee wa voko naona mambo sio mabaya ndugu mistari adimu!
 
Nikijua maana yake ili iweje kuna zawadi la muhimu umeelewa, asubuhi njema.
Samahani mkuu, lakini ni muhimu kuangalia hizi lugha vizuri. Mfano labda hapo umemaanisha bilauri "glass" ila umeandika majani "grass". Huoni ukiwa;
1) Daktari utaandika mtu apewe dozi tofauti na anayotakiwa na ukahatarisha maisha yake?
2) Engineer utaandika material tofauti na ukasababisha janga la jengo ama miundombinu kutokuwa salama?
3) Air traffic control?
4) Mwalimu, utalisha sumu wanafunzi?
Usichukulie poa. Jifunze mkuu its free...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom