Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wapiga punyeto wanalijua hili ndio maana imekuwa ngumu kwao kutoboa kuacha nyeto, Bao la mkono linakuwa tamu na nguvu kuliko bao la kitandani, ila tu kinachoboa kwenye bao la mkono ukimaliza...
8 Reactions
36 Replies
7K Views
Naomba kama haipo basi Watunga Sheria Watunge haraka kwani sasa tumeshachoka na hii Kero. Wewe upo zako Chumbani na Mkeo / Demu wako sasa inakuwaje mnapoanza ' Kufanyana ' mnatupigia Kelele zenu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna demi alichukua namba kwa rafiki yangu, aliponitafuta kama Mara 4 nikaamua nirushe nanga maana Mimi ni baharia, nanga ikashika konki. Sasa chakushangaza huyu manzi ananitafuta akiwa na shida...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Inasemekana ni wachache sana waliofanikisha kufunga ndoa na wapenzi wao, waliokutana masomoni wakiwa darasa moja.Je,kuna ukweli wowote?
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Nini kifanyike ili tuweze kuishi miaka 100 au na zaidi? Wengi wetu tumekuwa tukiishi miaka 30,40,50,60 n.k au pungufu ya hapo na kufa. Je ni halali kufa mapema?Nini kifanyike sasa?
1 Reactions
68 Replies
6K Views
Tumeachana ni week mbili sasa. Tokea tumeachana ameniblock kila sehemu. Leo ameniblokua WhatsApp halafu amenitumia mesej "if I still love you that's my fault" nikataka nimuulize ameemaaanisha nini...
5 Reactions
62 Replies
7K Views
Sio siri kama unataka mwenza classic kwenye tabia flaniflani, wadada wa kichagga ni kiboko. Ukitaka mashepu ya kibantu yapo Machame, ukitaka wazuri wa sura wapo Marangu, Ukitaka wapole wa tabia...
2 Reactions
106 Replies
39K Views
Waungwana kwanza kabisa niwape pole na msiba mzito,naweza sema msiba huu ni kama wa Taifa. Hivyo Taifa limepoteza kijana ambae aligusa mioyo ya watu wengi kwa namna moja ama nyingine. Pamoja na...
3 Reactions
86 Replies
12K Views
Wakuu habari! Nina demu wangu fulan hivi nataman kumuoa lakini sometimes huwa ananitisha yaani ukiongea kitu mnabishana kama wote Wanaume muda mwingine anakwambia aniogopi kwa chochote hata...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ninanukuu maelezo ya mume mtu yaliyotolewa mbele ya mke mwenyewe na mashahidi wengine wengine. "tumeishi kwenye hii ndoa kwa miaka tisa (9) bila mtoto na sikuwahi kulalamika wala kuuliza...
1 Reactions
104 Replies
8K Views
Kila jambo lina faida na hasara! Kama katika biashara tunajipanga kwa faida AMA hasara kadhalika katika nahusiano. Tena katika biashara kujipanga kwa faida au hasara ni jambo endelevu! Kama Leo...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuu! Huu ni Uzi maalumu kwa wale wapenda Tshirt za ujumbe mbalimbali wa mapenzi na maisha kwa ujumla,Tunakuuzia Tshirt moja ya ujumbe mojawapo hapo kwa Tsh16000/=tu, na ukitaka...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wana jf Nina mpenzi wangu wa kike ana shape matata si ya nchi hiii (hapa ndipo aliponiteka mtoto wa kiume) ila ana tabia izi 1. Ni muongo muongo mno( anaweza kuwa tabata akasema yupo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
1. Usipokee simu ukiwa na mchepuko/mke wa mtu (unaweza kuwa unafuatiliwa) kupitia mnara wa karibu wva kampuni ya simu husika. 2. Usitumie gari yako (kama unayo,kama huna tafuta mbinu mbadala)...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Hello mamboleo vip wadau. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji mwanamke mwenye heshima zake Elimu sio kigezo sanaa ila awe mwelewa, kujituma Kwa kufanya kazi, mapenzi na familia. Sifa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mods lengo la huu uzi ni kuwaelimisha hasa wanawake kwahiyo msiufute. - Wanawake bila nyinyi kuwa waongo waongo na utapeli mwingi wa fedha zetu wala tusingewaza kuzibuni njia hizi, Unakuta demu...
9 Reactions
425 Replies
71K Views
Mwanamke ana kashfa utadhani baba yake ni MO.? Alipofika tu ndani, chakwanza anauliza.. Hivi hii nyumba mwenye nyumba mnakaa nae au hayupo? Mbona nyumba mbaya hivi?? Amekwenda chooni aliporudi...
10 Reactions
43 Replies
6K Views
Sina la ziada zaidi ya kusema..Kazi kwenu sasa..!!!
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Mdau wangu kanipigia usiku huu analala mika ameota ndoto mbaya kuhusu yeye na mchumba wake ambae wanaishi mikoa tofauti Anasema Ndoto hii anaiota kwa mara ya pili sasa wiki hii Ndoto yenyewe iko...
1 Reactions
2 Replies
692 Views
Kiwango sahii (standard) cha nguvu za kiume ni ipi? Kwa maana kuwa wanaume inasemekana wana upungufu wa nguvu hizo na wengine inasemekana wanazo kiwango cha kupitiliza. Ninawasilisha mjadala
4 Reactions
48 Replies
9K Views
Back
Top Bottom