Wadada wa Kichagga mpo juu, lakini.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadada wa Kichagga mpo juu, lakini....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ramos, Jun 1, 2010.

 1. R

  Ramos JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sio siri kama unataka mwenza classic kwenye tabia flaniflani, wadada wa kichagga ni kiboko.

  Ukitaka mashepu ya kibantu yapo Machame, ukitaka wazuri wa sura wapo Marangu, Ukitaka wapole wa tabia wapo Tarakea na Usseri (Rombo), ukitaka wachakarikaji ni wachagga wote lakini hasa mashati (Rombo), ukitaka sauti za kubembeleza nenda Uru au Mkuu (ila uwe makini manake hazi-reflect upole), ukitaka vichwa madarasani na maishani nenda Rombo Marangu ukitaka weupe, warembo, n.k ila kama humaindi miguu, wachaga ni saizi yako.

  Lakini; Wachagga (wadada) hawajui mapenzi.

  Wadau wengi wanasema wadada wa kichaga ni malimbukeni kwenye mapenzi, ni waoga, ukiwa nao chumbani utadhani unaamrisha kikosi jeshini, sio wabunifu wa vionjo vya mapenzi... Yani unaweza kuingia chumbani na mwanamke mchaga kwa lengo la malavidavi, gafla anaanza kukuambia "yani aisee haya mashuka yalivyo mazuri ungeyatembeza kule kibosho kuuza utapata hela, yani mamdogo manka ametajirika hivi hivi kwa hii biashara"....

  Wadada wa kichaga, badilikeni banaa.. sio fresh.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  una uhakika na unayosema au unanakili zile hadithi za kusadikika na kufikirika....wewe ulishawahi kukutana na mambo hayo niliyobold na blue? unaishi sayari gani wewe? jupiter au neptune? ukinijibu haya tutaendelea zaidi
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,611
  Trophy Points: 280
  Hivi hakuna kabila nyingine ya kuzungumzia Tanzania ila ni Wachaga tu kila kukicha? Tuna makabila zaidi ya 120 katika Tanzania yetu wadada wa makabila mengine wako 100% perfect? Jibu ni hapana. Sasa kwa nini kila siku ni wadada wa kichaga tu ndiyo wanaondamwa!? Tuacheni ubaguzi Wabongo tukiundekeza utatufikisha pabaya.

  Mchango wangu wa thumni huo.
   
 4. R

  Ramos JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mara kibao. And this is comparative... Wabadilike...
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Alinishika mikono nikamwambia salama.....
  Akanishika ........ nikamwambia acha ashike ma-uchafu.....
  Akanishika............
  Aliponishika hoteli ya mtoto, NIKAMRABUA.......
   
 6. R

  Ramos JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  It doesnt mean ni ubaguzi. It is just a comment over one ethnic group. Mtu yeyote anaweza kucomment kwenye group nyingine yeyote...
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jun 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi napenda Wanyalukolo bana...they are ladies in the streets but freaks in the bedroom....acha bana...

  Halafu wananiachaga hoi sana na kale kamsemo kao ka 'niangusage' Lol
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,611
  Trophy Points: 280
  Did you have any specific reason(s) to comment on this tribe? Why not waha, wajaluo, Wanyiha etc?
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jun 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Bubu....chill out hommie....every ethnic group is fair game here. We've talked about Basukuma women plenty. Be it good or bad. So ease up son...and get ready...Black Mamba is hungry for that number 5
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  BAK, wachaga ni Mashemeji ya makabila mengi sana. Wadada wa Kichaga wakigundua tu kijana darasani zimo, watamganda kama kupe. Mkapa na Mwakyembe wakiwa mojawapo.
  Wasukuma ndiyo wagonjwa hasa wa Ki-Ngozi cheupe na Wachaga wamejaliwa.
  Hata jamaa yetu hapa Nyani Ngabu utasikia tu anamuulizia Nsia Nswai kila mahali......
  Na Nsia mwenyewe ukimuona mmhhhh ila umbo la Kike kwa Wasukuma, kajaliwa.
  [​IMG]
   
 11. c

  cc_africa Senior Member

  #11
  Jun 1, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jomba huko mi simo.maana nasikia wamama wa kichaga wanalala na kiumundu, ukifanya mchezo unaweza kusikia kimezama 2mboni!!!
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mdada mwenyewe kama Nsia Swai, Ngosha inabidi tu nikubali kuwa NZI KUFIA KWENYE KIDONDA......
   
 13. R

  Ramos JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ooh my G..
   
 14. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kwa sifa za wachaga za Ramos huyo ni wa wapi, haki ya nani mtoto moto, nilikuwa naulizia picha zake angalau mkuu umeipata kwenye makabrasha yako asante sana kama una zingine sio mbaya ukanitumia, ,zinafaa kwa mambo flaniflani
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kituko, Angalia saana kijana. Kama wataka ugomvi na Nyani Ngabu basi wee haya tu. Mie ilibidi nikae pembeni maana jamaa alitishia kugawa MGODI wa dhahabu wa kwake kwa Wakwe zake. Kama una zaidi cha kumpa baba Mkwe wa Kichaga, haya kazi kwako.
  Picha angalia kwenye mtandao zipo nyingi tu. Za Facebook sikupi maana kama aliniamini akanikaribisha kwake, sintatumia ukarimu wake kwa hilo. Hizi nyingine zilizopo ONLINE, hataweza kunilaumu. Muulizie Mzee Mwanakijiji au muandikie/muone Erick Shigongo AKA Ngosha wa Majungu.

  Benizzo: SOO JIPYA
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jun 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ahahahahahahaaa....Sikonge bana...lakini unajua nini..I have a sneaky suspicion that you too have a thing for her coz it seems kinda weird you seem to have her pics readily available like that. It's just an observation. But I would be remiss if I didn't thank you once more for torturing me eyes with her beauty.

  But real talk, Nsia's body is bangin'. It is muy caliente. It is on point, hands down, no ifs, buts, or ands about it.

  Damn....I'm breathless! Ngoja nimtafute...paycheck yangu yote ijayo nitampa zawadi....zawadi ya kuumbika vizuri.
   
 17. R

  Ramos JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kma sio kirua vunjo, basi mamba kotela...
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jun 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  My mission is to take Nsia from her man. So if her man's love is real, then he ought to be able to handle competition. I'm coming full throttle.
   
 19. A

  Audax JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ahahahaa-hii madajamani,mbona huwa hamleti udhaifu wa wanaume? Ni wanawake tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu????????????????????????????
  why?????????????????????????????????????????
  Mapenzi ni kuelimishana na umpendae,wewe kama unaona hafanyi unavyotaka unaona ubaya gani kumfundisha ili uenjoy mkiwa wote?
  Jaribuni kuangalia na upande mwingine wa shilingi
   
 20. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  You guys are twisted!

  And you know why you are always discussing waChagga? They excel at everything they put their minds to, they shine in many aspects in that country so you just had to find one thing, a myth, really to pull them down.
   
Loading...