Dondoo na mbinu za kuepuka fumanizi hizi hapa!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,061
24,485
1. Usipokee simu ukiwa na mchepuko/mke wa mtu (unaweza kuwa unafuatiliwa) kupitia mnara wa karibu wva kampuni ya simu husika.

2. Usitumie gari yako (kama unayo,kama huna tafuta mbinu mbadala) (Chukua Taxi/Bajaj/Boda boda)

3.Usiandikishe jina lako sahihi (Tafuta jina bandia mf. JOHN KII)

4. Funga chumba na funguo kwa ndani+Komeo+ziba kitundu kile cha funguo kwa nguo.

5.Mkimaliza, msitoke wote kwa pamoja, tangulia mwanaume, kuangalia usalama, baada ya dakika 15 ukiona salama ndipo umruhusu mchepuko nae atoke wakati huo umeshamtengenezea mazingira ya usafiri wa kumrudisha hom

6.Mungu akuumbue ukamatwe Pumbavu wewe.

.

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Kuna jamaa anavyoenda kuchepuka huwa anavaa miwani,mtaani na kazini hakuna aliyewahi kumuona akivaa miwani,muda mwingine anvyotoka kuchepuka anabadirisha tshrt au anavaa koti au sweta
 
Khaaa tabu zote za nini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Penzi la kuchepuka ni sawa na kubaka. Show unapiga fasta fasta, ukiona mtu anagonga hodi au anapita karibu na dirisha mechi inasimama. Mnasikilizia nani huyo? Roho inakuwa juu muda wote. Ila linakuwa tamu maana siku mnakuta ni show tu na haichukui muda mrefu kuanza baada ya kuonana.
 
1. Usipokee simu ukiwa na mchepuko/mke wa mtu (unaweza kuwa unafuatiliwa) kupitia mnara wa karibu wva kampuni ya simu husika.

2. Usitumie gari yako (kama unayo,kama huna tafuta mbinu mbadala) (Chukua Taxi/Bajaj/Boda boda)

3.Usiandikishe jina lako sahihi (Tafuta jina bandia mf. JOHN KII)

4. Funga chumba na funguo kwa ndani+Komeo+ziba kitundu kile cha funguo kwa nguo.

5.Mkimaliza, msitoke wote kwa pamoja, tangulia mwanaume, kuangalia usalama, baada ya dakika 15 ukiona salama ndipo umruhusu mchepuko nae atoke wakati huo umeshamtengenezea mazingira ya usafiri wa kumrudisha hom

6.Mungu akuumbue ukamatwe Pumbavu wewe.

.

Sent using Vertu Signature Cobra
7 kuwa na simu mbili ya mchepuko na ya madili mengine..

You may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Hapo namba 4 husitoe funguo kwenye tundu lake ukifunga mlango kwa ndani,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom