Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Shalom wanajukwaa.. Last time nilileta uzi hapa kuhusu huyu mwanamke aliyekua mpenzi wangu anavyonivuruga akili https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1564004/ Baada ya kuleta huu uzi hali...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
katika swala zima la mapenzi haswa kwa kizazi chetu hichi hivyo vitu viwili vimeonekana vinanguvu sana haswa mtu akitaka ku define neno mapenzi kwa maoni yangu mimi naona pesa ndo inanguvu kuliko...
0 Reactions
4 Replies
989 Views
Mwanamke Boobaaa............... Ikulu booobaaaaa......... Kasinde kusensemaaa........ Kusinde kusensema..... Tabora Booobaaaa..... Tusina kuseenseemaaa... Matata Kasie.
4 Reactions
179 Replies
14K Views
Habari wana JF niende kwenye mada tajwa ukweli mwanaume tunajifariji tu kuwa ni haki yetu kuchepuka, lakini unakumbuka kiapo cha siku ile unaahidi kumpenda mtu hadi kifo kiwatenganishe na wengine...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello guys, Nimekuwa nikisoma comments nyingi humu toka kwa wadada wakilalamika wanaume wamekuwa wagumu kutoa pesa, ladies here are the secrets 1)Kuwa mzuri; at least by popular standards, I...
7 Reactions
109 Replies
23K Views
Mko serious au mnatania? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanawake jiangalieni sana! Mwanamke anakuomba laki unamwambia sawa, ikija na wewe unataka mzigo angalau ujifariji na machungu ya kutoa laki anaanza oooh ina maana huwezi kunisaidia bila kukupa...
33 Reactions
150 Replies
14K Views
Niliwahi andika uzi jinsi gan nilivyoumiswa na nikajiapiza sitapenda tena, Huyu dada kwakweli najitahidi nimsahau, Ubaya mkubwa ni kua yeye ni gwiji wa kudanganya na kuchepuka bad enough sio na...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Wakuu! Toka nimwone mara ya kwanza 2017 Instagram, Antu Mandoza kwa kweli moyo wangu haujawahi tulia. Mara ya kwanza nikajua ni hali ya kawaida. Mnao mfahamu naomba kujua kuolewa ana boyfriend...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwanini ujasiri/ushujaa ni muhimu kuliko IQ unapotaka kufanikiwa. Leo katika pitapita zangu nimekutana na hiki kitu. Karibu tujifunze wote. Umehudhuria hafla ya marafiki wa muda mrefu uliosoma...
25 Reactions
71 Replies
8K Views
Any girl kwa kampani Niko mwanza, nyamagana pub nyuma ya nyegezi stand. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja huko Zambia alikuwa na mchumba wake ambaye ni nesi na yeye ni mwalimu. Ndoa ilikuwa ni mwezi machi mwaka huu. Sasa wakati wa uchumba akaanza kutuma rafiki zake eti wamtongoze ili...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Nawasalimu naomba ushirikiano wetu. Nawapenda wote. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
954 Views
Nimekutana na hii picha ya hawa wapenzi;picha ya juu walipiga mwaka 1968 na hiyo ya chini ni mwaka 2018;Je, nasi tutafika huko?
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Tunalala tunaamka tunapambana na utafutaji,Jumatatu hadi Jumapili;siku zinaenda,mwisho wake ni nini?
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimeshuhudia wanaume wengi wakipiga goti huku wakiwavalisha Pete za uchumba (engagement ring) sina shaka wala siupingi utaratibu huo ila kuna maswali huwa yananijia ambayo huwa nakosa majibu...
2 Reactions
68 Replies
12K Views
Kama mada inavyosema Kuna watu wanajua kupenda vibaya mno,alafu kuna wengine hawana mda na sio hawajali sema wana mambo mengi. Ila linapokuja swala la bithdays mtu unataka uonekane unajali kiasi...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
wadau hii hali huwa nakumbana nayo mara kwa mara.Nikitongoza mwanamke huwa nakubalika kirahisi sana.Na ndio kwenye hiyo timeframe natakiwa nimeshafanya yangu.vinginevyo nikikaa zaidi ya wiki 2...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Salam wanajukwaa pendwa la MMU Leo tujikumbushe kidogo kwa wale wanaume wa Shoka wenye kusimamia shoo za kibabe Kimsingi kwenye kugegedana Mwanamke husisimka sana na kutuliza mshawasha wake...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Wadau sababu zilizonifanya kuleta uzi huu ni kero ambazo nimekua nikipata kutoka kwa mpangaji mwezangu aliyezaa na mme wa mtu..mara nyingi hasa usiku mtoto huzidiwa hivyo nalazimika kuchukua...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom