Hivi hakuwezi Kutungwa Sheria Kali ya Wapangaji wanaowapigia Wenzao Makelele ya Makusudi wakiwa Mapenzini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,837
2,000
Naomba kama haipo basi Watunga Sheria Watunge haraka kwani sasa tumeshachoka na hii Kero. Wewe upo zako Chumbani na Mkeo / Demu wako sasa inakuwaje mnapoanza ' Kufanyana ' mnatupigia Kelele zenu na Sisi Wapangaji wengine? Kwani mmeambiwa kuwa na Sisi wengine huwa hatuna Nyege / Mhemko na hatubanduani na Wenza wetu?

Sasa mtatusababisha Watu wengine tulio na Uvumilivu mdogo tunaposikia mnatupigia ' Mikelele ' yenu hiyo tuwe tunaamka na ama Kuja kuwapeni ' Kichapo ' mbele ya Wake ( Wapenzi ) wenu hao kama hata na Sisi tukaomba ' Kolabo ' ya Kungonoka nao ili twende sawa.

Na nyie Dada zetu kwani ni lazima muwe mnapiga Kelele Kubwa hivyo? Mbona kwenye Kujamba huwa mnakuwa makini na hamtaki msikike tena mnakuwa na Nidhamu kweli ya Kuudhibiti Mjambo wenyewe na Spidi yake ila huku katika Makelele yenu ya Kungonoliwa huwa mnatufanyia makusudi hadi Kutupandisha wengine tusio na Mademu au Wake kisha tuanze Kuzitafuta Sabuni au Mafuta ya Rays na kupiga Nyeto?

Nawasilisha.
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
2,477
2,000
Funga mlango, fungulia sabufa kwa sauti kubwa ili usisikie.

Why watu wajinyime enjoyment kwa sababu za wengine? Acha wajiachie.

Ikikolea lazima apige upunga, kama wako hapigagi kelele jua hujui kumkoleza jombaa.
 
Chrix_Tz

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
889
1,000
Mkuu leo sikuungi mkono kbisaa kwahili acha watu tupate raha bhana ile kitu roho inapenda raha yake dem apige kelele kuonesha dunduso limezama kwel kwel hasa hajibane ili iweje we ukiona kero kajenge nyumba yako tuu utaachana na hizi jam za nyumba ya kupngatofaut na hapo kubali tuuu mzee baba....

Sent using IPhone X
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,837
2,000
Hama nyumba au jenga yako mkuu ukishindwa sana agiza na wewe vimwana viwili kwa mpigo vimezee vumbi la kongo uwatie adabu

CC Zero IQ
Huna Adabu kabisa Wewe! Wengine tunakuwa Wagumu kuhama Nyumba tulizopanga muda mrefu kwakuwa tayari tumeshafukia sana ' Mitunguli ' yetu ya Kindumba ( Fusho ) Mkuu hivyo tunaona Aibu endapo tukihama halafu huku nyuma ' Vitu ' vikaonekana kama ilivyokuwa kwa Mkwere kwenda kwa Msukuma pale Jirani na tunapopanda Pantoni za Kwenda na Kurudi Kigamboni.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,837
2,000
Mkuu leo sikuungi mkono kbisaa kwahili acha watu tupate raha bhana ile kitu roho inapenda raha yake dem apige kelele kuonesha dunduso limezama kwel kwel hasa hajibane ili iweje we ukiona kero kajenge nyumba yako tuu utaachana na hizi jam za nyumba ya kupngatofaut na hapo kubali tuuu mzee baba....

Sent using IPhone X
Nijenge yangu hiyo Hela yenyewe ya Kujenga ninayo? Kwahiyo leo naona Wewe na Zero IQ mmeamua kwa Makusudi kabisa Kunipiga Madongo na Kunyoosha kabisa maelezo yenu Kwangu? Halafu Siku wakijua nimerudi na Demu wala huwa hawapigi hizi Kelele zao sasa Siku wakujua Mwanamume nimeangusha peke yangu ndiyo wananipigia Kelele na hadi Madirisha na Milango yao wanafungulia kwa Kigezo kuwa kuna Joto sana kwa sasa Dar es Salaam. Haya kama siyo Makusudi na Majaribu Kwangu ni nini Mkuu?
 
carter

JF-Expert Member
Jan 23, 2009
3,073
2,000
Huna Adabu kabisa Wewe! Wengine tunakuwa Wagumu kuhama Nyumba tulizopanga muda mrefu kwakuwa tayari tumeshafukia sana ' Mitunguli ' yetu ya Kindumba ( Fusho ) Mkuu hivyo tunaona Aibu endapo tukihama halafu huku nyuma ' Vitu ' vikaonekana kama ilivyokuwa kwa Mkwere kwenda kwa Msukuma pale Jirani na tunapopanda Pantoni za Kwenda na Kurudi Kigamboni.
Hahaha huo mzigo wa tunguri ulishatolewa nini? Maana ule mzuka wa kwenda pale kati kati haupo tena. Saiv usingizi utakuwa mtamu pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chrix_Tz

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
889
1,000
Nijenge yangu hiyo Hela yenyewe ya Kujenga ninayo? Kwahiyo leo naona Wewe na Zero IQ mmeamua kwa Makusudi kabisa Kunipiga Madongo na Kunyoosha kabisa maelezo yenu Kwangu? Halafu Siku wakijua nimerudi na Demu wala huwa hawapigi hizi Kelele zao sasa Siku wakujua Mwanamume nimeangusha peke yangu ndiyo wananipigia Kelele na hadi Madirisha na Milango yao wanafungulia kwa Kigezo kuwa kuna Joto sana kwa sasa Dar es Salaam. Haya kama siyo Makusudi na Majaribu Kwangu ni nini Mkuu?
leo umepatikana mkuuhahahaha ila km vip na ww nenda kachukue gube gube kabisaaaa lipiga kelele km mtambo wa ubungo plant iwe ngoma droo tuuu hakuna namna hapooooo
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,092
2,000
Huna Adabu kabisa Wewe! Wengine tunakuwa Wagumu kuhama Nyumba tulizopanga muda mrefu kwakuwa tayari tumeshafukia sana ' Mitunguli ' yetu ya Kindumba ( Fusho ) Mkuu hivyo tunaona Aibu endapo tukihama halafu huku nyuma ' Vitu ' vikaonekana kama ilivyokuwa kwa Mkwere kwenda kwa Msukuma pale Jirani na tunapopanda Pantoni za Kwenda na Kurudi Kigamboni.
Mimi mpangaji wangu hawezi kuhama labda ajenge nyumba yake, maana kila mwezi lazima anikope kodi, nimempa option ya kulipa kila mwezi lakini bado utata mtupu, huu ni mwisho wa mwezi sioni hata dalili za malipo nanusa harufu ya kukopwa mwezi mwingine tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,311
2,000
Nijenge yangu hiyo Hela yenyewe ya Kujenga ninayo? Kwahiyo leo naona Wewe na Zero IQ mmeamua kwa Makusudi kabisa Kunipiga Madongo na Kunyoosha kabisa maelezo yenu Kwangu? Halafu Siku wakijua nimerudi na Demu wala huwa hawapigi hizi Kelele zao sasa Siku wakujua Mwanamume nimeangusha peke yangu ndiyo wananipigia Kelele na hadi Madirisha na Milango yao wanafungulia kwa Kigezo kuwa kuna Joto sana kwa sasa Dar es Salaam. Haya kama siyo Makusudi na Majaribu Kwangu ni nini Mkuu?

CC Zero IQ
 
drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
1,981
2,000
Mtoa mada katoa mada nzuri sana ilitakiwa serikali ifuatilie maana malezi ya watoto yana haribika na sio wote wanauwezo wa kujenga nyumba zao wanaosapoti hili jambo mfano mama yako mzazi angekuwa yupo chumba jirani na wewe unaishi na mzazi wako ukaanza kusikia makelele hayo ungefurahia kweli: watanzania tujitambue sio kila kitu kubisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom