Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Mdau wangu kanipigia usiku huu analala mika ameota ndoto mbaya kuhusu yeye na mchumba wake ambae wanaishi mikoa tofauti Anasema Ndoto hii anaiota kwa mara ya pili sasa wiki hii Ndoto yenyewe iko hivi;
Ameota yuko nyumbani na mchumba wake, gafla akaja mgeni mwanaume wakamkaribisha, mke wake akamtengea maji ya kuoga na chakula, wakati wa kwenda kulala yule mke wake akamwambia alale sebuleni, yeye mke wake akaenda kulala na mgeni chumbani, cha kushangaza wakati yote haya yanatokea jamaa hakukataa wala kukasirika. Je ndoto hii ina maanisha nini
Sent using Jamii Forums mobile app