Ati atakuwa anamaanisha nini?

Ati atakuwa anamaanisha nini?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Tumeachana ni week mbili sasa. Tokea tumeachana ameniblock kila sehemu. Leo ameniblokua WhatsApp halafu amenitumia mesej "if I still love you that's my fault" nikataka nimuulize ameemaaanisha nini nakuta ameni block tena mesej haziendi. Ati atakuwa anamaanisha nini?
 
Kimsingi alichoandika hakutaka jibu ndio mana kakublock tena

Kama uko na uhitaji wa kumuuliza nenda ghetto kwake ukamuulize
Sasa mtu ameniblock kila sehemu naanza vipi kwenda kwake anaweza ata kunichinja
 
Huyo bado anakupenda.
Ukiona mdada /sisi tumekublock ujue bado tuna mapenzi.
Kama hatuna mapenzi huwa tunakupotezea tuu.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hmmm mbona mi huwa siblock mtu hata itokee tatizo vipi. Halafu alieni block ni kaka
 
Kila akikumbuka utamu wa penzi ulilompatia, anashindwa kuvumilia, anakutoa kwenye block anakusalimia.
 
Tumeachana ni week mbili sasa. Tokea tumeachana ameniblock kila sehemu. Leo ameniblokua WhatsApp halafu amenitumia mesej "if I still love you that's my fault" nikataka nimuulize ameemaaanisha nini nakuta ameni block tena mesej haziendi. Ati atakuwa anamaanisha nini?
Maana yake utaipata ukitafsiri hayo maneno aliyokuandikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeachana ni week mbili sasa. Tokea tumeachana ameniblock kila sehemu. Leo ameniblokua WhatsApp halafu amenitumia mesej "if I still love you that's my fault" nikataka nimuulize ameemaaanisha nini nakuta ameni block tena mesej haziendi. Ati atakuwa anamaanisha nini?
Yaap, tafuta dictionary tafsiri word-to-word utajua anamaanisha nini..
 
Back
Top Bottom