Demu simsomi kabisa

Demu simsomi kabisa

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Kuna demi alichukua namba kwa rafiki yangu, aliponitafuta kama Mara 4 nikaamua nirushe nanga maana Mimi ni baharia, nanga ikashika konki. Sasa chakushangaza huyu manzi ananitafuta akiwa na shida ya hela au isiyo ya hela baada ya hapo awezi nitafuta hata nikae wiki nzima hawezi nitafuta, Mimi ndio wa kumpigia au sms. Naona kama analeta maringo sana halafu hataki kuja geto, Mimi naona siwezi kua na wanawake wengi nataka Nipige chini maana naona kuna mademu wengi wakali. Halafu kila kitu nachofanya anasambaza sijui ni ushamba maana sipendi mambo yangu watu wayajue maana napenda private life. Nisije nikajipiga bao la mkono, nipeni maujanja wazee.
 

Attachments

  • 19420841_1935311946726745_258254052398954178_n.jpg
    19420841_1935311946726745_258254052398954178_n.jpg
    130.8 KB · Views: 27
Kwenye hiyo picha huyo demu yupo?

"Enough of No Love"
 
Mwenzio anataka umbembeleze we nawe hujui kusoma kwa ishara kuanzwa si sababu ya kuacha kutoa ushirikiano khs kuombwa ela ni kawaida ila vizinga visizidi
 
Ili umsome hakikisha maandishi yapo usoni
 
🙌🙌 haeleweki hata nikimuonesha itakua haina maana, sitaki kumsambaza mtoto wa watu. Jua tu yupo hapo
 
Back
Top Bottom